Deep down ni kweli Wanawake bado wanataka 50/50?, uhalisia Makazini na Majumbani ukoje?

Deep down ni kweli Wanawake bado wanataka 50/50?, uhalisia Makazini na Majumbani ukoje?

Joined
Dec 9, 2025
Posts
89
Reaction score
213
Wakuu habari,

So nimerudi tena baada ya mazungumzo mengine marefu na rafiki yangu aliyeniita 'Toxic'
Wakati huu tulikua marafiki kadhaa wanaume kwa wanawake tukipiga stori hasa Ubingwa wa Arsenal na baadae mada ikafikia huku baada ya jamaa yetu mmoja kuuliza

"Hivi kwa nini wanawake mliamua kuingia makazini kujipa stress tu?"
Hivi mnajua kwamba huo muswada wa wanawake kuingia makazini kuna wenzenu waliukataa miaka hiyo ndo baadae ukapitishwa baada ya wachache kupambania?

Jaribu kuresearch nchi kama Egypt utaona tafiti zikionyesha wanawake ndiyo wenye furaha zaidi kuliko wanaume ni kwa sababu hawana hekaheka za utafutaji utamaduni wao ni mwanamke kukaa nyumbani !!!


Maswali ya jamaa yalijichanganya kwenye watu wenye mawazo mkanganyiko maana miongoni mwetu walikuepo Feminists na wengine kama mimi ambao tunaona ni sawa japo upepo mkali unaumiza

Basi Feminists wakajitetea kwamba ni harakati ya Mwanamke kuwa secured kwa namna ya Power (Mamlaka) na kiuchumi. Wakieleza kumtegemea Mwanaume ni risk kwani kuna wakati anaweza asiwepo ukabaki bila ramani, pia ni fursa kwa Wanawake kuonyesha uwezo wao na Talents zao

Upande wetu wa kuvutwa na upepo mmoja alisema kutafuta security ni sawa ila kuna namna uwasilishwaji wa 50/50 inaumiza Wanawake kwa kuwajengea mentality ya Masculnity jambo ambalo hata kiuumbaji si sawa

Binafsi nilipenda hoja za jamaa kwani bado kuna ishara nyingi tunashuhudia hata makazini kwenye majukumu ya kazi wanawake wanalalamika sana ndiyo maana ukiangalia hata taasisi nyingi binafsi wafanyakazi kwa asilimia kubwa ni Wanaume na hii ni kutokana na wanawake kuwa na excuses nyingi

Hata kwenye Media utakuta Mwanamke analia na kulalamika labda hajatendewa haki lakini anayoi-address utasikia "Mimi ni Mwanamke serikali iniaonee huruma", hii tayari inaonyesha namna gani bado 50/50 ni ngumu

Majumbani tunaona Baba na Mama wote ni wafanyakazi lakini Mshahara unaolipa bills za nyumba ni wa Baba, Utasikia hela ya Mwanamke ni ya kwake peke yake

Je, kiuhalisia kabisa hii harakati ya 50/50 bado mnaitaka?
 
Nina experience na wanawake kwa miaka mingi, hususani kwenye hizi taasisi zetu ila hawana wanachofanya huko makazini zaidi ya mashindano ..Wana tamaa za pesa , kama kupanda vyeo ila sio wafanyakazi wazuri .

Excuses zao ni nyingi ni vile wanapenda pesa , maisha yao hata kazi hazina kipaumbele ni ule unaa tu wa kuonekana nao wanafnya kazi .. kwanza, wanapenda kufanyiwa kazi , wanapenda sana rusuha , ukiangalia kwa maumbile yao ni sawa , kuna mdada mumewe alikuwa boss halafu yeye nilikuwa naye sehemu moja , ana watoto watatu kwa vile ni serikalini ila yule mdadi kila hawezi kumaliza wiki mpaka anasemwa .

Watoto wake hwaishiwi matatizo basi anaacha kazi anaenda kuwafuata shule . Hauwez kuamini na utendaji wake wa kudema dema kapelekwa Taassi yenye mishahara minono hapq TZ , na cheo juu .

Kiufupi , lazima tuongee ukweli hii ya kumpa msichana hizi nafasi wakati bado anahudumiwa sio afya kabisa na ni wanaume wenzetu wanafnya hayo
 
Wakuu habari,

So nim

Je, kiuhalisia kabisa hii harakati ya 50/50 bado mnaitaka?
Hata kama wanaitaka hawaiwezi.

50/50 inafanya kazi kwenye mazingira yenye usawa, nature tu hairuhusu hiyo 50/50.

Sasa hivi kuna tetesi huko duniani wanataka likizo za siku za hedhi kwenye maofisi. Sasa ili 50/50 ifanye kazi wanaume wapewe likizo ya nini kufidia usawa?
 
Anataka mahakama itowe uamuzi wa 50/50 lakini anajua hela yake yote(mshahara) imeishia kwenye mawigi,mavazi,manukato na kusaidia kwao. Huku kwenye familia mume ndie anae simamia majukumu yote mpaka mshahara wa beki tatu anatoa mume.

Sasa kama mshahara wa mke hauna faida na familia ana haja gani ya kwenda kazini🤣🤣
 
Pale kwenye kikao chao Beijin hawakuambiwa kwamba haki sawa itakuja na wajibu sawa. Hawakuambiwa presha na stress za kuwa main character kama mwanaume. Baada ya 50/50 kuwa applicable wanawake wameona shuruba ya kusimama kwenye nafasi ya mwanaume. Wamekuja na mbinu mpya

Kwa sasa wamekuja na mbinu mpya. Hawataki tena gender equality, wanataka selective equality, yaani wawe wanachagua ni wapi na kwa namna gani wawe sawa na mwanaume. Na hii ni ili waweze kubadilika kimsimamo kwa kuangalia masilahi yapo upande upi.

Pale ambapo gender equality inawanufaisha wanaupinga mfumo dume mfano ajira, uongozi n.k. Pale ambapo mfumo dume unawanufaisha wanaupinga usawa wa kijinsia mfano kulipa bill.

Hawawezi kuchagua kimoja kwa ujumla wake kati ya usawa wa kijinsia na mfumo dume kwa sababu wanataka benefits za kila upande lakini roles zake ndio hawazitaki. They want place of a man, privilege of a woman and responsibilities of neither.
 
Nina experience na wanawake kwa miaka mingi, hususani kwenye hizi taasisi zetu ila hawana wanachofanya huko makazini zaidi ya mashindano ..Wana tamaa za pesa , kama kupanda vyeo ila sio wafanyakazi wazuri .

Excuses zao ni nyingi ni vile wanapenda pesa , maisha yao hata kazi hazina kipaumbele ni ule unaa tu wa kuonekana nao wanafnya kazi .. kwanza, wanapenda kufanyiwa kazi , wanapenda sana rusuha , ukiangalia kwa maumbile yao ni sawa , kuna mdada mumewe alikuwa boss halafu yeye nilikuwa naye sehemu moja , ana watoto watatu kwa vile ni serikalini ila yule mdadi kila hawezi kumaliza wiki mpaka anasemwa .

Watoto wake hwaishiwi matatizo basi anaacha kazi anaenda kuwafuata shule . Hauwez kuamini na utendaji wake wa kudema dema kapelekwa Taassi yenye mishahara minono hapq TZ , na cheo juu .

Kiufupi , lazima tuongee ukweli hii ya kumpa msichana hizi nafasi wakati bado anahudumiwa sio afya kabisa na ni wanaume wenzetu wanafnya hayo
Well said mdau. Niliwahi kukaimu nafasi kdg, nikawa naombwa excuse kama 2 Kila wiki Tena nyingine ni maandalizi ya Birthday😄
 
Hata kama wanaitaka hawaiwezi.

50/50 inafanya kazi kwenye mazingira yenye usawa, nature tu hairuhusu hiyo 50/50.

Sasa hivi kuna tetesi huko duniani wanataka likizo za siku za hedhi kwenye maofisi. Sasa ili 50/50 ifanye kazi wanaume wapewe likizo ya nini kufidia usawa?
50/50 ni illusion ambayo ili iwe applicable inabidi kushusha standards na qualification upande wa mwanamke au kumpunguzia nguvu mwanaume ndio balance iwepo. Lakini kwenye fair playing ground, nature inaikataa 50/50.
 
Anataka mahakama itowe uamuzi wa 50/50 lakini anajua hela yake yote(mshahara) imeishia kwenye mawigi,mavazi,manukato na kusaidia kwao. Huku kwenye familia mume ndie anae simamia majukumu yote mpaka mshahara wa beki tatu anatoa mume.

Sasa kama mshahara wa mke hauna faida na familia ana haja gani ya kwenda kazini🤣🤣
Haaha , yaani hata hawajielewi ...
 
50/50 ni illusion ambayo ili iwe applicable inabidi kushusha standards na qualification upande wa mwanamke au kumpunguzia nguvu mwanaume ndio balance iwepo. Lakini kwenye fair playing ground, nature inaikataa 50/50.
Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom