Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
Hata kama wanaitaka hawaiwezi.Wakuu habari,
So nim
Je, kiuhalisia kabisa hii harakati ya 50/50 bado mnaitaka?
š¤š¤Oya tunawajadili wanawake mno banaa eboo, same recycled bullshit!
Well said mdau. Niliwahi kukaimu nafasi kdg, nikawa naombwa excuse kama 2 Kila wiki Tena nyingine ni maandalizi ya BirthdayšNina experience na wanawake kwa miaka mingi, hususani kwenye hizi taasisi zetu ila hawana wanachofanya huko makazini zaidi ya mashindano ..Wana tamaa za pesa , kama kupanda vyeo ila sio wafanyakazi wazuri .
Excuses zao ni nyingi ni vile wanapenda pesa , maisha yao hata kazi hazina kipaumbele ni ule unaa tu wa kuonekana nao wanafnya kazi .. kwanza, wanapenda kufanyiwa kazi , wanapenda sana rusuha , ukiangalia kwa maumbile yao ni sawa , kuna mdada mumewe alikuwa boss halafu yeye nilikuwa naye sehemu moja , ana watoto watatu kwa vile ni serikalini ila yule mdadi kila hawezi kumaliza wiki mpaka anasemwa .
Watoto wake hwaishiwi matatizo basi anaacha kazi anaenda kuwafuata shule . Hauwez kuamini na utendaji wake wa kudema dema kapelekwa Taassi yenye mishahara minono hapq TZ , na cheo juu .
Kiufupi , lazima tuongee ukweli hii ya kumpa msichana hizi nafasi wakati bado anahudumiwa sio afya kabisa na ni wanaume wenzetu wanafnya hayo
50/50 ni illusion ambayo ili iwe applicable inabidi kushusha standards na qualification upande wa mwanamke au kumpunguzia nguvu mwanaume ndio balance iwepo. Lakini kwenye fair playing ground, nature inaikataa 50/50.Hata kama wanaitaka hawaiwezi.
50/50 inafanya kazi kwenye mazingira yenye usawa, nature tu hairuhusu hiyo 50/50.
Sasa hivi kuna tetesi huko duniani wanataka likizo za siku za hedhi kwenye maofisi. Sasa ili 50/50 ifanye kazi wanaume wapewe likizo ya nini kufidia usawa?
Haaha , yaani hata hawajielewi ...Anataka mahakama itowe uamuzi wa 50/50 lakini anajua hela yake yote(mshahara) imeishia kwenye mawigi,mavazi,manukato na kusaidia kwao. Huku kwenye familia mume ndie anae simamia majukumu yote mpaka mshahara wa beki tatu anatoa mume.
Sasa kama mshahara wa mke hauna faida na familia ana haja gani ya kwenda kaziniš¤£š¤£
Naunga mkono hoja.50/50 ni illusion ambayo ili iwe applicable inabidi kushusha standards na qualification upande wa mwanamke au kumpunguzia nguvu mwanaume ndio balance iwepo. Lakini kwenye fair playing ground, nature inaikataa 50/50.
[emoji23][emoji23][emoji23]Well said mdau. Niliwahi kukaimu nafasi kdg, nikawa naombwa excuse kama 2 Kila wiki Tena nyingine ni maandalizi ya Birthday[emoji1]
Sasa hivi wanataka likizo ya hedhiKazini wanawake wengi wavivu
Alafu bado wanataka 50/50Sasa hivi wanataka likizo ya hedhi