Mwafrika hata awe anajiweza anaenda kugombania kitu ambacho ilibidi wakipate wenye shida zaidi yake,Tatizo ni umaskini na Sio uafrica , hata mzungu , mchina maskini angefanya hivyo hivyo pia
Actually ulichoandika ni uhalisia kwa kiasi kikubwa , MTU mweusi ana roho ya kutu linapokuja suala la kujali maslahi ya wengine ,Mwafrika hata awe anajiweza anaenda kugombania kitu ambacho ilibidi wakipate wenye shida zaidi yake,
Ndio maana hata Afrika yetu ipo nyuma sana, nchi inapewa msaada watu wanahamishia kwenye account za familia
Mkuu yale majizi serikalini yana umaskini gani? Mtu ana uhakika wa kuhudumiwa na serikali hadi kufa lakini haachi kituTatizo ni umaskini na Sio uafrica , hata mzungu , mchina maskini angefanya hivyo hivyo pia
Ni maskini wa kutokutoshekaMkuu yale majizi serikalini yana umaskini gani? Mtu ana uhakika wa kuhudumiwa na serikali hadi kufa lakini haachi kitu
Hukokwao huthubutu kufanya jivyo. Hata ukionekana umeokotahela mtaani (CCTV) ukaenda nayo nyumbani badala ya kuipeleka Polisi, ukikamatwa unafunguliwa shitaka la wizi.Tatizo ni umaskini na Sio uafrica , hata mzungu , mchina maskini angefanya hivyo hivyo pia