Defender 110 vs Land Cruiser 70 Series – Nani ana 4x4 kali zaidi Off-Road? Post:

Defender 110 vs Land Cruiser 70 Series – Nani ana 4x4 kali zaidi Off-Road? Post:

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
560
Reaction score
756
Title:
Defender 110 vs Land Cruiser 70 Series – Nani ana 4x4 kali zaidi Off-Road?
Post:
Kuna kitu kimeniwazisha sana kuhusu uwezo wa off-road wa magari haya mawili.
Kati ya Land Rover Defender 110
Screenshot_2026-03-06_220017.jpg
Toyota Land Cruiser 70 Series
Screenshot_2026-03-06_220122.jpg
, ipi ina 4x4 kali zaidi kwenye mazingira magumu kama matope, milima, mawe au mchanga?
Watu wengi wanaisifia Defender kwa teknolojia zake na uwezo wake wa kupita sehemu ngumu, lakini upande mwingine Land Cruiser 70 Series imejijengea sifa kubwa sana ya uimara na kuhimili mazingira magumu, na mimi mwenyewe nimeiona ikifanya vizuri sana kwenye terrain ngumu.
Hili limekuwa linanifanya nifikirie sana, hasa nikizingatia matumizi halisi ya off-road.
Ningependa kusikia maoni yenu:
Kwa uzoefu au uelewa wenu, ipi ina traction nzuri zaidi?
Ipi inapanda milima au kupita matope vizuri zaidi?
Na ipi inaaminika zaidi kwa matumizi ya muda mrefu?
Karibuni sana tushirikishane uzoefu, uelewa na mifano halisi. Maoni ya kila mmoja yatasaidia kujifunza zaidi kuhusu uwezo wa magari haya mawili makali.
 
Mkuu naona picha ya Defender ya mwaka 1998 na Land Cruiser ya 2025 sidhani kama ulinganisho huo upo sawa labda hapo ungeweka na Cruiser ya miaka hiyo hiyo ya defender pia..
 
Mkuu naona picha ya Defender ya mwaka 1998 na Land Cruiser ya 2025 sidhani kama ulinganisho huo upo sawa labda hapo ungeweka na Cruiser ya miaka hiyo hiyo ya defender pia..
It means akuna kikubwa kilicho badilika kwenye engine 1hz ya 2025 imeongezewa intake manfold
 
It means akuna kikubwa kilicho badilika kwenye engine 1hz ya 2025 imeongezewa intake manfold
Engine ya mwaka 2000 haiwezi kuwa sawa na Engine ya kwenye gari iliyowekwa mwaka 2025 mazee nimewasikia wengine wanasema top cover ya silver na ya black zipo sawa tofauti ni cover tu ya juu..
 
110 alikuwa mkali Kwa enzi zake Kwa sasa huwezi linganisha na 70 mkuu, 110 anapotezwa vibaya sana
 
Tukilinganisha ya miaka ya karibuni 70,s series na defender,, defender kampita tuu land cruise kwenye performance basi isue za ugumu land cruise bado ni chuma,, ukilinganisha kwa miaka ya katikati hapo 2000,s kwa ugumu ni kama ziko tuu sawa ila engine land cruise ni bingwa sana tdi300 iko poa ila haina nguvu milimani inasizi sana na ina leakage sana td5 tdci puma zina nguvu but zinadeka sana
 
Cruser tumpe taji lake
 
Back
Top Bottom