Defender/Land Rover/Mandolin kitaa

Defender/Land Rover/Mandolin kitaa

Mamserenger

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2019
Posts
1,156
Reaction score
2,092
Wakubwaa naomba kujuzwa.

Kume kuwa na kamchezo watu wananunua aina hii ya Magari yakiwa mabovu sanaa yamechakaa kisha hupelekwa Garage na kutengenezwa na kuwa mpyaa kabisaaa.

Kuulizia wanazengo wanasema huwa Magari hayo tajwa hapo Juu hununuliwa kwenye minada ya Serikali.
Hama tuu mtu binafsi.Sasa kuna Garage hasa ukanda wa Mkoa wa Arusha ndo huwa wana Deal nazo na kuzifyatua kuwa nzuri zaidi.

1. Swali langu je...??? Gari hizi zinakuwa na ubora gani...??? Hasa pale baada ya kutoka katika Garage zetu...?
2. Na niwapi Serikali hupiga mnada wa magari yale yalio tumika kwa kipindi kirefu...???

Na Je za kununua Hizi Mandolin used sana zinakuwa bei gani nakuipeleka Garage inaweza kuwa beigani....??

Asanteni kwa ushauri wenu.

Screenshot_20211106-133602_Instagram.jpg


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Gari ni durable engine ina nguvu pia ni AWD

nyingi zinapita katika remote areas.

Kuhusu midada sijajua ila service yake gharama si unajua ni mwingereza huyo
 
Nikikaa vizuri nataka hio chuma iliopo kwenye avatar niirekebishe iwe hivi, kazi yake ni kuendea beach na shamba tu.
0fc70f628bc7843e7165acb813ae97d2.jpg
 
Back
Top Bottom