Degree bora duniani

Degree bora duniani

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
 
Reasons

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Na degree zote zinazotelewa na chuo cha ardhi....
 
Hivi kumbe nazo kuna nyingine unataka
kusema ni imradi kuwa nayo.
Mkuu usijekuwa unatupotosha hapa.
 
reasons

sent from my blackberry 9780 using jamiiforums

sababu ni unyeti wa hizo taaluma mfano. Hatuwezi kuishi kwa usalama bila ya kuwa na wataalamu wa sheria mfano.hata biashara ikue vipi pasipo na sheria za kuongoza mienendo ya hizo biashara itakuwa ni sifuri
 
Kwa hyo wakina sisi tunaosomea ualimu,ni kama tumepotea njia tu au inakuaje hapo?
 
Tutapataje walimu wa kufundisha watakaofaulu kwenda vyuoni??????
Think in UPPER CASE.
Hata hivyo....mii naona degree nzuri kuliko zote duniani ni ile itakayokufanya usiwategemee Walezi wako , na wala usiishi kwa kuiba wala kuonea wengene DUNIANI kabla hujaKUFA.
 
Mkuu MARCKO Hapo umesema Jambo la Msingi. Degree bora ni ile itakayo mfanya mtu aweze kujitegemea na kupambana na changamoto zinazomzunguka. Itakuwa na maana gani mtu kamaliza Pharmacy akaenda nyumbani kwao akashindwa hata kusuggest dawa kwa mdogo wake anayehara?

TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY

Mkuu mpigamsuli

1. Bila shaka wewe Umemaliza, unasoma au unatarajia kusoma degree mojawapo kati ya hizo.

2. Degree bora maana yake nini?

3. Huo ubora umeupimaje? Embu tupe vigezo ulivyotumia!

4. Je, Kila mwenye degree kati ya hizo na yeye ni bora?

5. kinyume cha bora ni dhaifu. Je, degree dhaifu ni zipi ?

Mwisho: Degree yenye maana ni ile inayomfanya mtu aweze kupambana na changamoto zinazomzunguka na hasa mwenye kuipata kuweza kuiweka ktk matendo.
 
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY

Hiyo namba 4 nadhani ndo itakuwa bora zaidi kwani sijawahi iskia popote duniani, labda inatolewa mbinguni....
 
Mkuu MARCKO Hapo umesema Jambo la Msingi. Degree bora ni ile itakayo mfanya mtu aweze kujitegemea na kupambana na changamoto zinazomzunguka. Itakuwa na maana gani mtu kamaliza Pharmacy akaenda nyumbani kwao akashindwa hata kusuggest dawa kwa mdogo wake anayehara?

Mkuu marcko amesema HIVI?!:clap2: Degree bora ni ile ambayo haikusaidii wewe huku wengine wanateseka.
 
degree ya URAIS KAMA IPO NDIO BORA, huoni wanasiasa wanapambana?
 
Mkuu marcko amesema HIVI?!:clap2: Degree bora ni ile ambayo haikusaidii wewe huku wengine wanateseka.

Mkuu jiji nipo sahihi, MARCKO amesema. ''...Hata hivyo....mii naona degree nzuri kuliko zote duniani ni ile itakayokufanya usiwategemee Walezi wako , na wala usiishi kwa kuiba wala kuonea wengene DUNIANI kabla hujaKUFA''

Sasa kosa langu lipo wapi? ''please
jiji , try to read between lines''!!
 
Back
Top Bottom