Degree bora duniani

Degree bora duniani

Hakuna digrii iliyobora kuliko nyingine bali kuna digrii ngumu kuliko nyingine na nyeti,let make an assumption doctors and engineers supply of labour ni 40%of total population and lawyers is 20% so the wage per each lawyer will be high compared to doctors.kutokana na ugumu wa course si ubora kuna sababisha daktari apate mshahara mkubwa na kuonekana bora,lakni ni nyeti sio bora.nI MTAZAMO
 
Kwa taarifa yako..acha kujidanganya...ubora upo ndan ya mtu wala degree haihusiki..take that!
 
utawala huo hata engineer au lawyer anaweza akawa mtawala kozi fupi ya muda mfupi unaweza ukawa mtawala.je unaweza ukapewa kozi fupi ya kuwa lawyer au engineer ? Nijibu
Utawala ni fani sawa na fani zingine kama vile uhandisi, tafadhari usichanganye vitu hapa! Kumbuka, mtawala atafanya kazi yake kwa ufasaha zaidi kuliko ambavyo mhandisi angeliweza kutawala, vivyo hivyo mhandisi atafanya kazi yake ya uhandisi kwa ufasaha zaidi kuliko mtaalamu wa fani iliyo tofauti na uhandisi! Zaidi, nikukumbushie ya kuwa, mtawala aliyesoma kozi fupi ya utawala, atakuwa na uwezo mfupi/mdogo wa kutawala sawa na kiwango cha elimu yake! Elewa kuwa, aliyesoma shahada ya sheria na aliyesoma stashahada ya sheria, wote ni wanasheria, japo uanasheria wao unazidiana kutokana na viwango vya elimu zao! Je umenielewa? Kamabado, niambie nikuelimishe zaidi kwani bado sijachoka!
 
Back
Top Bottom