Degree bora duniani

Degree bora duniani

Mie nadhani Mungu aliumba mbigu na dunia akawakabidhi wanasayansi, vp sayansi ni nini? na wanasayansi ni watu gani?. Ni mawazo yangu tu jamani
 
Digrii bora kwangu ni kuyafikia malengo yangu basi endeleeni kuwaza ubora,ubora ni kichwa chako.
 
kweli mavi yake huyo,tena akayazoe ayale mwenyewe huyo. Af nahs atakua kagraduate 2012 form 4 tena kascore 34 anasubir 3rd selection.

mkuu ni uwezo wa kichwa chako kushindwa kumudu hizo kozi kwa hiyo usilete matusi kaa kimya
 
Ndo matatizo ya kuwa msomi pekee kwenye ukoo au familia
degree ndo nini kwenye huu ulimwengu wa technology?
unataka kufananisha nini sas?
 
sababu ni unyeti wa hizo taaluma mfano. Hatuwezi kuishi kwa usalama bila ya kuwa na wataalamu wa sheria mfano.hata biashara ikue vipi pasipo na sheria za kuongoza mienendo ya hizo biashara itakuwa ni sifuri
Lol, if that being the case, can we live without lets say Administrators etc?
 
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
Hapa ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? au umebinafsisha kwa wawekezaji?
 
lol, if that being the case, can we live without lets say administrators etc?

utawala huo hata engineer au lawyer anaweza akawa mtawala kozi fupi ya muda mfupi unaweza ukawa mtawala.je unaweza ukapewa kozi fupi ya kuwa lawyer au engineer ? Nijibu
 
Du me naona bora ni ile itayokutoa kimaisha coz ukipima uwiano zote zinategemeana hata ile ya mwalimu nayo poa
 
Mkuu mpigamsuli

1. Bila shaka wewe Umemaliza, unasoma au unatarajia kusoma degree mojawapo kati ya hizo.

2. Degree bora maana yake nini?

3. Huo ubora umeupimaje? Embu tupe vigezo ulivyotumia!

4. Je, Kila mwenye degree kati ya hizo na yeye ni bora?

5. kinyume cha bora ni dhaifu. Je, degree dhaifu ni zipi ?

Mwisho: Degree yenye maana ni ile inayomfanya mtu aweze kupambana na changamoto zinazomzunguka na hasa mwenye kuipata kuweza kuiweka ktk matendo.
Well said
 
Naomba nikufahamishe wewe dogo ambaye unaonekana ndio umepata degree yako ya sheria na hata law school bado hujaenda.
Degee bora nichangie kama headinga yako inavyotaka kupotasha, Degree inayoheshimika sana duniani kutokana na unyeti wake ni Degree ya udakatari,
Kutoka na unyeti wa degree hizi haziwi classified hutasikia eti kuna first class MD kamwe hakuna hilo madaktari wote wanachukuliwa ni sawa ili kuondoa ubaguzi kazini kwamba dr huyu anafirst class or what kama wengine wanavyojisifia eti nina GPA gani sijui madr wa hawana hizo sifa ingawaje darasani kwenye mitiani utakuta wamepitana.
Pili kamwe hauwezi kusoma MD online haikubaliki kamwe.
Tatu huwezi kuanza kazi bila kufanya internship na pia kusajiliwa na bodi maalumu.
Baadaya hapo degree nyingine ambayo itafuatia ni Engineering, kamwe huwezi soma Degree hiyo Open University .
Mimi naheshimu professionals and non professionals na hata Ofisini kwetu tunafanya kazi na professional nyingi sana, madaktari,wanasheria ,engineers ,wahasibu,watawala ,etc. wahudumu wa ofisi ,walinzi,madereva etc
Wewe kijana mpigamsuli, nadhani bado uamawazo ya shule, maisha baada ya Shule hususani ukiwa mwajiriwa au mjasiriamali ni tofauti sana kila mtu or professional ina/anaumuhimu wake katika jamii au taasisi.
Na kwa hapa nchini kwetu specifically in our Government kada ambayo inamafungu mengi ni inayotumia kifungu or Vote 1001 Administration and Human Resources .
Acha mawazo ya shule fanyia kazi professional yako jamii ifaidike na wewe upate pesa.

Mwisho Masomo ya Shahada ambazo ningumu kusoma duniani ni zile ambazo Open university of tanzania hawazifundishi.
 
We ulie toa mada hii kuwa makini sana, umetumia vigezo gani kupima maoni yako? Kama ni hivyo basi
1. Unapozungumzia sheria tayari mungu alishaeleza kwenye Qurani na Bibilia hizo ndo sheria za haki, izi zengine za
watu ni kudhulumiana tu
2.Unapozungumzia Engineer hujaweka wazi, zipo nyingi kama Telecom,Civil,Electrical nk, lakini ebu jaribu kufanya
uchunguzi kwa haraka haraka mfano hapa Tanzania kwa unginia wetu tumeweza walau kutengeneza sakiti ya simu
ya mkononi walau moja? na kama laa basi ujue uinjinia uliopo Tanzania ni kopi na kupesti nasio uvumbuzi .
3.Ukizungumzia Phamarcy, sisi wenyewe tunacomplecate mambo, kwani masuala ya madawa hata wahenga walikuwa
ni wataalamu sana wa madawa na waliishi miaka mingi mpaka kizazi chao kikakukuta wewe, kwa hiyo Phamarcy ni
kawaida tu ila tunapenda kukomplicate mambo

nk....

Kiukweli degree bora ni ile itakayokufanya uishi katika maisha huru usiyotegea maisha ya mtu unapata riziki yako ya kila siku na maisha yanakwenda, complication nyengine unazoleta hizo ndo zinapelekea mtu anakufa na tamaa zake kwa pressure bila sababu.

Kijana U HAVE TO THINK BIG.
 
Naomba nikufahamishe wewe dogo ambaye unaonekana ndio umepata degree yako ya sheria na hata law school bado hujaenda.
Degee bora nichangie kama headinga yako inavyotaka kupotasha, Degree inayoheshimika sana duniani kutokana na unyeti wake ni Degree ya udakatari pamoja na BVM
Kutoka na unyeti wa degree hizi haziwi classified hutasikia eti kuna first class MD kamwe hakuna hilo madaktari wote wanachukuliwa ni sawa ili kuondoa ubaguzi kazini kwamba dr huyu anafirst class or what kama wengine wanavyojisifia eti nina GPA gani sijui madc wahana hizo sifa za kipumbafu ingawaje darasani kwenye mitiani utakuta wamepitana.
Pili kamwe hauwezi kusoma MD online haikubaliki kamwa
Tatu huwezi kuanza kazi bila kufanya internship na pia kusajiliwa na bodi maalumu.
Baadaya hapo degree nyingine ambayo itafuatia ni Engineering, kamwe huwezi soma Degree hiyo Open University .
Mimi naheshimu professionals and non professionals na hata Ofisini kwetu tunafanya kazi na professional nyingi sana, madaktari,wanasheria ,engineers ,wahasibu,watawala ,etc. wahudumu wa ofisi ,walinzi,madereva etc
Wewe kijana mpigamsuli, nadhani bado uamawazo ya shule, maisha baada ya Shule hususani ukiwa mwajiriwa au mjasiriamali ni tofauti sana kila mtu or professional ina/anaumuhimu wake katika jamii au taasisi.
Na kwa hapa nchini kwetu specifically in our Government kada ambayo inamafungu mengi ni inayotumia kifungu or Vote 1001 Administration and Human Resources .
Acha mawazo ya shule fanyia kazi professional yako jamii ifaidike na wewe upate pesa.

Mwisho Masomo ya Shahada ambazo ningumu kusoma duniani ni zile ambazo Open university of tanzania hawazifundishi.
 
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY

Kila taaluma ina umuhimu wake katika ulimwengu huu, taaluma zote zinategemeana sana na hakuna taaluma inayoweza kusimama kipekee na kujinadi bora dhidi ya nyingine. Jitahidi kuelewa ulimwengu unavyoenda achana na mawazo haya ya college corridors uwe diversely exposed.
 
mkuu marcko hapo umesema jambo la msingi. Degree bora ni ile itakayo mfanya mtu aweze kujitegemea na kupambana na changamoto zinazomzunguka. itakuwa na maana gani mtu kamaliza pharmacy akaenda nyumbani kwao akashindwa hata kusuggest dawa kwa mdogo wake anayehara?

kweli mkuu
 
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
sawa, umeridhika sasa?
 
Ubora wa degree ni jinsi inavyofanya kazi na zote zinategemena.bac kama ndo hvyo accontancy alafundishe school si ualimu haina ubora. Et dogo jirekebishe na akili yako iwe njema next Tyme

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
naomba nikufahamishe wewe dogo ambaye unaonekana ndio umepata degree yako ya sheria na hata law school bado hujaenda.
Degee bora nichangie kama headinga yako inavyotaka kupotasha, degree inayoheshimika sana duniani kutokana na unyeti wake ni degree ya udakatari pamoja na bvm
kutoka na unyeti wa degree hizi haziwi classified hutasikia eti kuna first class md kamwe hakuna hilo madaktari wote wanachukuliwa ni sawa ili kuondoa ubaguzi kazini kwamba dr huyu anafirst class or what kama wengine wanavyojisifia eti nina gpa gani sijui madc wahana hizo sifa za kipumbafu ingawaje darasani kwenye mitiani utakuta wamepitana.
Pili kamwe hauwezi kusoma md online haikubaliki kamwa
tatu huwezi kuanza kazi bila kufanya internship na pia kusajiliwa na bodi maalumu.
Baadaya hapo degree nyingine ambayo itafuatia ni engineering, kamwe huwezi soma degree hiyo open university .
Mimi naheshimu professionals and non professionals na hata ofisini kwetu tunafanya kazi na professional nyingi sana, madaktari,wanasheria ,engineers ,wahasibu,watawala ,etc. Wahudumu wa ofisi ,walinzi,madereva etc
wewe kijana mpigamsuli, nadhani bado uamawazo ya shule, maisha baada ya shule hususani ukiwa mwajiriwa au mjasiriamali ni tofauti sana kila mtu or professional ina/anaumuhimu wake katika jamii au taasisi.
Na kwa hapa nchini kwetu specifically in our government kada ambayo inamafungu mengi ni inayotumia kifungu or vote 1001 administration and human resources .
Acha mawazo ya shule fanyia kazi professional yako jamii ifaidike na wewe upate pesa.

Mwisho masomo ya shahada ambazo ningumu kusoma duniani ni zile ambazo open university of tanzania hawazifundishi.

lawyers,engineers ,doctors ndo wenye umuhimu wengine wajinga wanasoma taaluma nyepesinyepesi
 
Back
Top Bottom