Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningekukuta ningekupa bia najua unatumia
kweli mavi yake huyo,tena akayazoe ayale mwenyewe huyo. Af nahs atakua kagraduate 2012 form 4 tena kascore 34 anasubir 3rd selection.
Lol, if that being the case, can we live without lets say Administrators etc?sababu ni unyeti wa hizo taaluma mfano. Hatuwezi kuishi kwa usalama bila ya kuwa na wataalamu wa sheria mfano.hata biashara ikue vipi pasipo na sheria za kuongoza mienendo ya hizo biashara itakuwa ni sifuri
Hapa ndio mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? au umebinafsisha kwa wawekezaji?TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
lol, if that being the case, can we live without lets say administrators etc?
Well saidMkuu mpigamsuli
1. Bila shaka wewe Umemaliza, unasoma au unatarajia kusoma degree mojawapo kati ya hizo.
2. Degree bora maana yake nini?
3. Huo ubora umeupimaje? Embu tupe vigezo ulivyotumia!
4. Je, Kila mwenye degree kati ya hizo na yeye ni bora?
5. kinyume cha bora ni dhaifu. Je, degree dhaifu ni zipi ?
Mwisho: Degree yenye maana ni ile inayomfanya mtu aweze kupambana na changamoto zinazomzunguka na hasa mwenye kuipata kuweza kuiweka ktk matendo.
funguka kma zipi! Coz ardhi wanatoa had degree in comunity and development studies!
Lmv,urp and land surbeying
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
mkuu marcko hapo umesema jambo la msingi. Degree bora ni ile itakayo mfanya mtu aweze kujitegemea na kupambana na changamoto zinazomzunguka. itakuwa na maana gani mtu kamaliza pharmacy akaenda nyumbani kwao akashindwa hata kusuggest dawa kwa mdogo wake anayehara?
sawa, umeridhika sasa?TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
naomba nikufahamishe wewe dogo ambaye unaonekana ndio umepata degree yako ya sheria na hata law school bado hujaenda.
Degee bora nichangie kama headinga yako inavyotaka kupotasha, degree inayoheshimika sana duniani kutokana na unyeti wake ni degree ya udakatari pamoja na bvm
kutoka na unyeti wa degree hizi haziwi classified hutasikia eti kuna first class md kamwe hakuna hilo madaktari wote wanachukuliwa ni sawa ili kuondoa ubaguzi kazini kwamba dr huyu anafirst class or what kama wengine wanavyojisifia eti nina gpa gani sijui madc wahana hizo sifa za kipumbafu ingawaje darasani kwenye mitiani utakuta wamepitana.
Pili kamwe hauwezi kusoma md online haikubaliki kamwa
tatu huwezi kuanza kazi bila kufanya internship na pia kusajiliwa na bodi maalumu.
Baadaya hapo degree nyingine ambayo itafuatia ni engineering, kamwe huwezi soma degree hiyo open university .
Mimi naheshimu professionals and non professionals na hata ofisini kwetu tunafanya kazi na professional nyingi sana, madaktari,wanasheria ,engineers ,wahasibu,watawala ,etc. Wahudumu wa ofisi ,walinzi,madereva etc
wewe kijana mpigamsuli, nadhani bado uamawazo ya shule, maisha baada ya shule hususani ukiwa mwajiriwa au mjasiriamali ni tofauti sana kila mtu or professional ina/anaumuhimu wake katika jamii au taasisi.
Na kwa hapa nchini kwetu specifically in our government kada ambayo inamafungu mengi ni inayotumia kifungu or vote 1001 administration and human resources .
Acha mawazo ya shule fanyia kazi professional yako jamii ifaidike na wewe upate pesa.
Mwisho masomo ya shahada ambazo ningumu kusoma duniani ni zile ambazo open university of tanzania hawazifundishi.