Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani wakuu eti ni degree ipi bora kwenye biashara
BBA
BCOM
BAF
BECA
BBF na nyinginezo msaada wenu naomba kuelimishwa
Samahani wakuu eti ni degree ipi bora kwenye biashara
BBA
BCOM
BAF
BECA
BBF na nyinginezo msaada wenu naomba kuelimishwa
BAF iko vizuri...maoni yng tu
Degree 5 ,bora 1.engineerin 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance , ,kwa hiyo accounting&finance ndiyo (baf) boraa kwa kuwa ipo kwenYe big 5,
,kwani course content za baf,accountancy na bcom,bba ya account,. Zinautofauti gani,?ni majina tu hayo ambayo chuo inajiwekea ukifanya utafiti utakuta kidogo tu zinatofautiana labda ardhi ndo wameongeza unit na muccobs,lakn ukiingia deep kila .course ina purpose yake.mfano angalia bcom ya udsm na accountancy ya tia.hazna utofauti.hi logic nlipewa wizara ya fedha sabasaba trade fair.
naunga mkono hoja