AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
kwa maoni yangu...baf,
ukisoma business accounting and finance mzumbe utapata wigo mpana sana kwenye accounting and finance,
kwa ushuhuda tu,nimefanya cpa na watu wa bcom waliochukua mchepuo wa account udsm hawakua vizuri sana kwenye finance kwa sababu kwao accounts n finance hutengwa nadhani second year.
Ndugu mtoa mada,ukizungumzia degree ya biashara ili uchague yategemeana na ni nini malengo yako,kama unataka kua mhasibu na kuja kufanya macpa au acca ushauri wangu ni baf ikifuatiwa na bcom, ila kama malengo ni kusoma tu biashara na huna nia ya kuja kua na proffession ya uhasibu mbeleni kwa mtazamo wangu hizo bba zitakufaa
naomba kuishia hapo kwani hizo zingine mbili sizifaham..beca na bbf kwa kweli sijawahi zisikia,hivyo ni busara nisiseme jambo nisilo lijua.
Ahsante.
wisely advices ndio hizi