Degree bora ya biashara

Degree bora ya biashara

kwa maoni yangu...baf,

ukisoma business accounting and finance mzumbe utapata wigo mpana sana kwenye accounting and finance,

kwa ushuhuda tu,nimefanya cpa na watu wa bcom waliochukua mchepuo wa account udsm hawakua vizuri sana kwenye finance kwa sababu kwao accounts n finance hutengwa nadhani second year.

Ndugu mtoa mada,ukizungumzia degree ya biashara ili uchague yategemeana na ni nini malengo yako,kama unataka kua mhasibu na kuja kufanya macpa au acca ushauri wangu ni baf ikifuatiwa na bcom, ila kama malengo ni kusoma tu biashara na huna nia ya kuja kua na proffession ya uhasibu mbeleni kwa mtazamo wangu hizo bba zitakufaa

naomba kuishia hapo kwani hizo zingine mbili sizifaham..beca na bbf kwa kweli sijawahi zisikia,hivyo ni busara nisiseme jambo nisilo lijua.

Ahsante.

wisely advices ndio hizi
 
BBF NI bachelor of banking and finance ila BBA ndo hu deal na managment ya course nying za biashara
 
Sasa kwenye BBA iyo BHR ndani yake ila we course za BBA hulambi hata moja
 
Samahani wakuu eti ni degree ipi bora kwenye biashara
BBA
BCOM
BAF
BECA
BBF na nyinginezo msaada wenu naomba kuelimishwa
angalia soko linataka nn i.e demand vs supply!!!!!!!!
 
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.
 
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.
Upo sahii kabisa mkuu!
 
Me nimesema za biashara mkuu hao wanaopasua kichwa badala ya mguu umewaweka wa nin?
 
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.

leo ni siku ya kwanza tangu niingie jf perry ndio umenifurahisha , ila hapo kwenye LL,B badili na weka LAW
 
best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.economics.
9.material science.
10.actuarial science.
11.chemical enginering.
12.finance
13.physics
14.mathematics science.
15.accounting
16.business administration.
17.llb
18.marketing mgt
19.quantity surveying
20.archtecture
source:us magazine.

kama mtu kozi yako haipo katika hizi wewe umepotea
 
kapiga BBA ndio mpango mzima kozi multipurpose usikariri upande mmoja tu!
 
Back
Top Bottom