Degree bora ya biashara

Degree bora ya biashara

B.B.A naikubali sana,ipo multipurpose sana,kila sehemu unafit tu ndo maana kila nikitupia CV Yangu popote itangazwapo kazi lazima waniite kwenye intavyuu hadi nachagua mwenyewe pa kwenda,ingawaje GPA yng ni ya kawaida tu
 
teh teh pigamsuli kama mpigamsuli class mate , ila angalia chuokikuu sio kukesha

mwambie mapema dadae2,chuo co kukamia km unangojea necta y 4m6,huku n buku kmtndo,bash za hapa na pale na kusocoalize pia na wenzio!.pia ahakikshe hakos lecture mara kwa mara,tcha akitoa concept unaiassimilate fasta then una2lia 2lii!
 
mwambie mapema dadae2,chuo co kukamia km unangojea necta y 4m6,huku n buku kmtndo,bash za hapa na pale na kusocoalize pia na wenzio!

ahahahaaa! mi sijazoeaga kukesha bhana!
 
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.


mbona waalimu siwaoni [EDUCATION]?
 
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.

hahahahaa namba 19 inanihusu mimi inapatikana pale ardhi peke yake kwa tanzania, na university of nairobi kenya
 
Degree 5 ,bora 1.engineerin 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance , ,kwa hiyo accounting&finance ndiyo (baf) boraa kwa kuwa ipo kwenYe big 5,

Usipotoshe watu, accounting & finance ni jina hizi course za accounting & finance unasoma whether umechukua BCom ama BBA. Tofauti ya Course ya Accounting & Finance haina masomo mengi ya management kama zilivyo BCom na BBA.
Siku nyingine usipende kupotosha, sawa mkuu.
 
Kwa Maoni yangu...BAF,

Ukisoma Business Accounting and Finance Mzumbe utapata wigo mpana sana kwenye Accounting and Finance,

Kwa ushuhuda tu,nimefanya CPA na watu wa Bcom waliochukua mchepuo wa Account Udsm hawakua vizuri sana kwenye Finance kwa sababu kwao accounts n Finance hutengwa nadhani second year.

Ndugu mtoa mada,ukizungumzia degree ya biashara ili uchague yategemeana na ni nini malengo yako,kama unataka kua mhasibu na kuja kufanya maCPA au ACCA ushauri wangu ni BAF ikifuatiwa na BCOm, ila kama malengo ni kusoma tu biashara na huna nia ya kuja kua na proffession ya uhasibu mbeleni kwa mtazamo wangu hizo BBA zitakufaa

Naomba kuishia hapo kwani hizo zingine mbili sizifaham..BECA na BBF kwa kweli sijawahi zisikia,hivyo ni busara nisiseme jambo nisilo lijua.

Ahsante.

Nauhakika umesoma na kuelimika, sasa basi kabla ya kutoa maoni yako penda kufanya tafiti kidogo juu ya jambo unalotaka kusema.
BBA, Accounting haina tofauti kisilabasi na BCom, Accounting na BAF particular kwenye suala la professional ya uhasibu. Kuna watu wamemaliza BBA, Accounting hawajawahi kukamatwa CPA na maana walipiga single sit na kupata CPA ukitaka ushahidi nipm nikupe.
Isipokuw kozi za BBA ni mpya hapa kwetu na silabadi yake ni kubwa, Ina masomo mengi ya managements ukilinganisha na BAF na BCom, Accounting.
 
mh vp msuli wa BBA wadau

msuli ni wa kawaida tu mzee mzima cha muhimu ni kupenda kuhudhuria vipindi na kushiriki kwenye discussions na wenzako,ukiipata degree ya hyo course,utashangaa kila kazi inayotangazwa unafit,tengeneza G.P.A tu,hutajuta mkuu,kila la heri,halafu uzuri mwingine wa hii course ni kuwa ukiwa na mtaji kidogo tu we unakuwa mtu wa kufikiria kufanya business tu
 
msuli ni wa kawaida tu mzee mzima cha muhimu ni kupenda kuhudhuria vipindi na kushiriki kwenye discussions na wenzako,ukiipata degree ya hyo course,utashangaa kila kazi inayotangazwa unafit,tengeneza G.P.A tu,hutajuta mkuu,kila la heri,halafu uzuri mwingine wa hii course ni kuwa ukiwa na mtaji kidogo tu we unakuwa mtu wa kufikiria kufanya business tu

Mwanaume mzima unasoma BBA
 
Back
Top Bottom