teh teh teh!! poa classmate!
Ukifika huko IRDP ukasome usiniangushe
usijali mimi tena! hapa msuli tu, kama wewe vile!
teh teh pigamsuli kama mpigamsuli class mate , ila angalia chuokikuu sio kukesha
mwambie mapema dadae2,chuo co kukamia km unangojea necta y 4m6,huku n buku kmtndo,bash za hapa na pale na kusocoalize pia na wenzio!
mwambie mapema dadae2,chuo co kukamia km unangojea necta y 4m6,huku n buku kmtndo,bash za hapa na pale na kusocoalize pia na wenzio!
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.
Best 20 college degrees for 2013.
1.petroleum engineering
2.computer engineering
3.Aeronatics engineering
4.medicine
5.electrical engineering
6.civil engineering
7.computer science
8.Economics.
9.material science.
10.Actuarial science.
11.chemical enginering.
12.Finance
13.physics
14.mathematics science.
15.Accounting
16.Business administration.
17.Llb
18.marketing mgt
19.Quantity surveying
20.Archtecture
source:US magazine.
Degree 5 ,bora 1.engineerin 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance , ,kwa hiyo accounting&finance ndiyo (baf) boraa kwa kuwa ipo kwenYe big 5,
Kwa Maoni yangu...BAF,
Ukisoma Business Accounting and Finance Mzumbe utapata wigo mpana sana kwenye Accounting and Finance,
Kwa ushuhuda tu,nimefanya CPA na watu wa Bcom waliochukua mchepuo wa Account Udsm hawakua vizuri sana kwenye Finance kwa sababu kwao accounts n Finance hutengwa nadhani second year.
Ndugu mtoa mada,ukizungumzia degree ya biashara ili uchague yategemeana na ni nini malengo yako,kama unataka kua mhasibu na kuja kufanya maCPA au ACCA ushauri wangu ni BAF ikifuatiwa na BCOm, ila kama malengo ni kusoma tu biashara na huna nia ya kuja kua na proffession ya uhasibu mbeleni kwa mtazamo wangu hizo BBA zitakufaa
Naomba kuishia hapo kwani hizo zingine mbili sizifaham..BECA na BBF kwa kweli sijawahi zisikia,hivyo ni busara nisiseme jambo nisilo lijua.
Ahsante.
mh vp msuli wa BBA wadau
Kozi za kike hizo
mh vp msuli wa BBA wadau
za kiume ndo zipi? habari za asubuhi classmate!
msuli ni wa kawaida tu mzee mzima cha muhimu ni kupenda kuhudhuria vipindi na kushiriki kwenye discussions na wenzako,ukiipata degree ya hyo course,utashangaa kila kazi inayotangazwa unafit,tengeneza G.P.A tu,hutajuta mkuu,kila la heri,halafu uzuri mwingine wa hii course ni kuwa ukiwa na mtaji kidogo tu we unakuwa mtu wa kufikiria kufanya business tu