Degree bora ya biashara

kwa hyo nyinyi ndo shirika la viwango vya taaluma?,usiishie kusema ni bora2 bila kudadavua kwa vivid and researched facts!otherwise ni kubwabwaja2!

Nimeifuatilia hii thread toka mwanzo wewe f,a,la ndo umekuja kuharibu mtiririko wa well organized ideas kwa post yako....shwainn
 

Acha ujinga wewe hiyo ni according to usa kwa vigezo vyao na soko la ajira la huko america usiwe unakurupuka tu
 
Nimeifuatilia hii thread toka mwanzo wewe f,a,la ndo umekuja kuharibu mtiririko wa well organized ideas kwa post yako....shwainn

sasa ulivyotukana ndo umepata nini kaka? sio vizuri
 
Mwanaume mzima unasoma BBA

mkuu,ya nini usumbue kichwa kupiga mitango pori wakati kuna vitu vya kawaida tu navipiga kwa muda mfupi then naangalia michakato mingine ya kumake money kiulaini tu bila kutumia hata culculus au micomplex numbers kama inayokufanya wewe uwe chizi kama ile miprofesa ilipiga misuli kama wewe lakini ukiwaangalia, maisha yao ni mabovu halafu muda wote wanaongea peke yao kama wewe vile,ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…