Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam kwa kuchanganya elimu na kipato plus ajira basi mwenye elimu asiye na ajira ama kipato kizuri ni lazima alalamike lakini mimi nafikiri kuwa elimu ipo kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu na kama haijamkomboa basi hiyo si elimu. Bado niende mbali na kusema hao wanaopinga elimu leo hii wanamtazamo finyu elimu ina mambo mengi mno ya msingi sema watu tunashindwa kutofautisha ujuzi wako na maarifa yako kwa ajili ya kusustain maisha. Watu wanataka elimu iwe hardware ya kuwabeba wakati elimu ni software.Kutokana na ajira zimekuwa chache sana kiasi ambacho hiyo hoja ndio inakuja pahali pake,
lakini sehemu kwenye ajira za kutosha kauli hyo haiwezi kufanya kazi,
mfano, wakati mwengine unaweza kusoma degree ya uchumi, lakini ukawa mtangazaji,
sio wakati wote unachosoma ndio unachopata kazi, ila kusoma muhimu kwa sababu unakuwa umekitanua kichwa zaidi kimaarifa.
hayo yapo mpaka nchi nyengine,
ila nchi mfano wa marekani, unaweza kusoma usipate kazi ya ulichosomea ila kazi zipo nyengine nyingi sana kiasi ni wewe mwenyewe tuu, ukienda kuomba unapata, na tofauti ya mshahara unaweza kuwa sawa wewe ulomaliza darasa la saba na alomaliza degree mbili. au unaweza kile ulochosomea hela yake ni ndogo kuliko kazi nyengine ambayo hela yake ni kuba zaidi,
mfano wa viwandani, mtu anaweza kulipwa dola 20 kwa saa (elfu 45,000), wakati huo unaweza kuwa umesomea, ukawa cashier bank ukalipwa dola 15 kwa saa,
ila kuna faida kubwa ya kusoma mpaka ukafika degree na kutofika, muhimu kusoma tena muhimu sana, kupata kazi hiyo ni changamoto nyengine kabisa.
Badala ya Midset ingependeza MINDSET.Ndg.Asubuhi nimesikiliza mjadala wa saa 2 katika ile platform ya club house ya midset transformation. katika mjadala huo watu watatu wenye degree zaidi ya nne na mmoja mwenye PHD kwa kudai kuwa kupata degree is just a paper na kwamba katika maisha yao hazijawahi kuwasaidia lolote.
Wamekwenda mbali zaidi kuwa watanzania wengi wanaendesha maisha nje ya degree walizopata.
Wamepata wakati mgumu baada ya members kuwataka watoe ufafanuzi maana humo wapo vijana wanaosikiliza na wanajipanga kuelekea vyuoni lakini wamesisitriza tena kuwa mtu anayetegemea kutumia degree imsaidie anachemka.
Yamesemwa mengi lakini binafsi nikaona si vibaya nikaleta humu kisima cha great thinker tuidadavue maana hawa motivation speakers pasua kichwa
kwanini hao wasomi wasizalishe ajira?Soko la ajira limekuwa gumu mpaka degree inaonekana haina thaman duuh
Ndg.Asubuhi nimesikiliza mjadala wa saa 2 katika ile platform ya club house ya midset transformation. katika mjadala huo watu watatu wenye degree zaidi ya nne na mmoja mwenye PHD kwa kudai kuwa kupata degree is just a paper na kwamba katika maisha yao hazijawahi kuwasaidia lolote.
Wamekwenda mbali zaidi kuwa watanzania wengi wanaendesha maisha nje ya degree walizopata.
Wamepata wakati mgumu baada ya members kuwataka watoe ufafanuzi maana humo wapo vijana wanaosikiliza na wanajipanga kuelekea vyuoni lakini wamesisitriza tena kuwa mtu anayetegemea kutumia degree imsaidie anachemka.
Yamesemwa mengi lakini binafsi nikaona si vibaya nikaleta humu kisima cha great thinker tuidadavue maana hawa motivation speakers pasua kichwa
hiyo sio leo wala kesho, subiri baada ya miaka 1000 yesu anaporudi.Wataalamu wa masuala ya uchumi wanasema mpaka kufika mwaka 2039 Africa itategemewa kwa mambo mengi sana kuanzia Elimu na maisha mengi tu kama chakula na hata maji
Tukianza na elimu kama mnavyoona wale watoto wa kizungu waliokuwa wanategemewa kuwa engineers na doctors Leo wengi wamejikita kwenye social media na kuwa actors, singers, comedians na ubunifu usiokuwa na tija kwa jamii bali wafuasi milioni
Hapo kama tutawekeza kwenye elimu wao ndio watatuhitaji zaidi kuwa doctors na kazi nyingi tu
Rejea wameanza taratibu kuchukua nurses toka Kenya kuja UK
Waarabu pia walishtuliwa zamani wakafikiri watauza mafuta kwa wingi maisha yao yote ila mambo yatakuwa magumu sana kwani Solar zitatawala na magari ya umeme yatakuwa mengi na kuyatupa yanayotumia mafuta
Tuna wakati mzuri sana wa kujipanga na vijana kusoma sana kwa vitendo sio kukariri
Msiwasikilize hao kwani walienda kukariri sio kusoma
Ndg yangu hakika unaeleweka vizuri sana, ni kweli kwamba huwezi mlinganisha graduate na asie na degree(form 4 au std 7) kwa uwelewa/maarifa.Ni swala la kuogofyakwa taifa letu kwa kuona mtu mwenye degree nne (zinatia mashaka kama kweli anazo kutokana na anayosema) akiponda elimu. Hili jambo inaonekama muhusika alikuwa na false assumption kwamba kiasi cha elimu ina equate na fedha au mali. Lakini sivyo hivyo elimu ni kwa ajili ya kupanua fikra na kwa taifa ni kuwa na watu wenye fikra pana.
Elimu ya bongo imekuwa biashara skuiz, na viongozi tulionao wapo kimya tu.Ndg.Asubuhi nimesikiliza mjadala wa saa 2 katika ile platform ya club house ya midset transformation. katika mjadala huo watu watatu wenye degree zaidi ya nne na mmoja mwenye PHD kwa kudai kuwa kupata degree is just a paper na kwamba katika maisha yao hazijawahi kuwasaidia lolote.
Wamekwenda mbali zaidi kuwa watanzania wengi wanaendesha maisha nje ya degree walizopata.
Wamepata wakati mgumu baada ya members kuwataka watoe ufafanuzi maana humo wapo vijana wanaosikiliza na wanajipanga kuelekea vyuoni lakini wamesisitriza tena kuwa mtu anayetegemea kutumia degree imsaidie anachemka.
Yamesemwa mengi lakini binafsi nikaona si vibaya nikaleta humu kisima cha great thinker tuidadavue maana hawa motivation speakers pasua kichwa
Conspiracy Theories zinakuharibu! Degree hizi za UDSM ndio ziwe tegemeo la baadae, Yena kama kuna sehemu Duniani ambayo Elimu imeshindwa kuonesha faida yake basi ni Africa. Angalia hadi leo hii hali yetu kulingana na Idadi ya wasomi tulionao.
hiyo sio leo wala kesho, subiri baada ya miaka 1000 yesu anaporudi.
ndo mnavojidanganyaga hivo kwa kujitia moyo. Wanachofanya wao ni kupata pesa nyingi wateke uchumi wa dunia sawasawa.Inamsaidia nini mwanachi ambae atahitaji kutibiwa kama kijana badala asomee Uganga
Huyo wa aliyeko kwenye tiktok na kupata hela au YouTube na kupata hela akifika miaka 20 ijayo ataweza kuisaidia jamii kwa lipi?
Hapo nazungumzia hao ambao wanategemewa kuwa wataalamu baadae ila wame drop shuleni kisa anauza bidhaa kwenye Amazon
Mkuu angalia ya mbele hao hao watakuja kutuhitaji sisi maana tiktok na YouTube haitawasaidia wananchi wao
Huyo unasema anatengeneza hela hiyo ni faida yake bali jamii haisaidii lolote na ni upotevu wa rasilimali watu
Naongelea kwa ujumla na uhalisia wa maisha yatakavyokuwa baadae
Ila kila mmoja anavyoona na wewe unavyoona ndio hivyo
ndo mnavojidanganyaga hivo kwa kujitia moyo. Wanachofanya wao ni kupata pesa nyingi wateke uchumi wa dunia sawasawa.
Mapesa yote hayo, washindwe kuagiza wataalamu kutoka nchi za ngozi nyeupe wenzao, eti waje kuchukua tz na kenya.
Kwanza kwao ni wajanja, uschukulie mzungu poa sana. Wenzako walishawekeza wataalam toka kitambo mpaka sasa.
Kule kuna watu special kabisa, hawatokagi ndani wamefungiwa maabara mpaka sasa wapo kazini wanaendelea na utafiti. Na wanalindwa, wanalipwa na kugharamikiwa kila kitu na serikali zao na makampuni yao makubwa. Ndo maana mnaletewa chanjo na madawa.
Sasa wewe endelea kuota ndoto zako za mchana eti mzungu aje akutafute. Mtasubiri mpaka yesu anashuka. Labda mjiongeze wenyewe mkaombe kazi kwao, na ukipewa ni bahati nasibu.