Degree ni karatasi tu, haisaidii lolote kiuchumi?

Watanzania bado tuna safari ndefu sana. Kuna watu wanakuja Jf wanauliza "Nisome course gani inayolipa?". Then unaona kuna great thinkers na wenye mashahada wanamshauri, "chukua course fulani au fulani inalipa sana". Yaani ni vituko sababu wanaomshauri hivyo ni wale wasomi. Inasikitisha kwamba wanaoshauri ni kundi la watu wanaotegemewa kukwamua wengine. Hakunaga kitu kinacholipa au kisicholipa. Kama chuoni umeingia kwa kutanguliza wrong foot, utakuja mtaani na kuanza kulalamika. No wonder unakimbilia ubunge na kuwaambia wenzako wajiajiri. Wazee, pesa haikimbizwi....hutoipata utaanza kutafuta wachawi na utaishia kuleta mijadala kama hii. Pesa inavutiwa. Ukiyaelewa mazingira yako unaji-magnetize na ku-attract money. Usisahau hiyo kanuni. Successful people wote hawakui-chase pesa. Walii-attract pesa.
 
Nani

Nani alikwambia ukiwa na frika pana ndo utakuwa na maisha bora? Nakuona kama huna tofauti na huyo mwenye degree nne. Tena kwa taarifa yako kadiri unavyokuwa na upana wa mawazo ndivyo hivyo utakavyozidi kuwa mbali na mambo ya kidunia, kuna zaidi ya hivi unavyoona kwenye haya maisha. **** kanuni ambazo zipo zinatuongoza na hatujui, hapa ndipo wasomi wanapaswa kuingia kazini na kufafanua kwa lugha nyepesi ambayo hata mtoto mdogo anaweza kuelewa. Sio kila mtu anapaswa kuwa msomi, huyo anayeponda hakujua anataka nini maishani

Na pia heshimu kazi za watu, hao vijana wanaovuta bangi unafikiri wanafanya kaxi rahisi.... Unafikiri wanakula kilainiii..ivi unajua kukesha kufanya kazi usiku tuuu... Ivi unafikir nivwangap wanatoboa kwenye mzikii..kuwa na adabu.
 
Huo ndio ukweli ila kwa sisi tunaangalia kesho tunakula nini
Ya miaka 40 au 50 ijayo hayatuhusu kwani hatuna la kuvumbua kwa hiyo tunasubiri watutafunie kila kitu

Kubali au kataa utakuwa mtumwa wao tu kama hutabadili mentality hii


Wazungu sio wajinga Mkuu,
Unachofikiria wenzako walishakifanya,
Wanachokifanya hujawahi kukifikiria na wala hutokuja ukifanye.

Wazungu sio wajinga kwamba ati wote wajikite kwenye masuala ya digital waachane na sekta zingine

Akili yako naona inakutuma kuwa Wazungu ni Kama Sisi wabongo tusikiapo matiki yanalipa basi wote tunalima matikiti.

Wazungu hawapo hivyo,

Wapo waliojikita kwenye Mitandao, wapo kwenye sekta za Afya, elimu, dini, Sayansi na Teknolojia n.k.

Sasa ninyi Waafrika mtawashinda Wazungu Kwa elimu hii mbovu waliowaachia.😄😄😄

Kuna watu mnajua kufikiria mambo ya kitoto
 
Duh very sorry, kwa kukukwaza ni mitazamo tu,
kwa njema tu na kwa faida ya wengi naomba ufafanuzi zaidi hapa

"Kuna zaidi ya hivi unavyoona kwenye haya maisha.****kanuni ambazo zipo zinatuongoza na hatujui"
 

Asante
 

Asante mkuu kwa hii nondo. ubarikiwe
 

Tufanye nini mkuu
 
Kwa Tanzani na sehemu kubwa ya Africa degree inaweza isiwe msaada sana kama huna connection.
 
Mawazo chanya kabisa
 
Tufanye nini mkuu
Shukran sana kwa kunielewa,

SWALI LAKO ZURI JAPO GUMU SANA

Kwa kuanzia tungepata takwimu sahihi ya maendeleo ya jamii yetu kuhusu maisha yetu kwa ujumla wake, yaani uchumi kuanzia level ya family kwa classes, elimu zao, hatima ya maisha yao kwa classes, mambo kama hayo ingekuwa rahisi kutoa ushauri wenye tija na maamuzi sahihi.
 
Tatizo hapa ni kuwa watu wanaenda kusoma kwa lengo moja tu la kusoma ili wapate pesa.Lakini sababu ya kusoma sio kupata pesa peke yake, Tuangalie magorofa makubwa ambayo Engineers wamejenga?Tuangalie Operations ambazo doctors wanafanya?Haya yote yasingewezekana endapo watu wasingepata hayo madegree yanayoonekana hayana faida kiuchumi.
Elimu itusaidie kutupa uwezo wa kucontribute kwenye jamii katika kujaribu kutatua changamoto zinazomzunguka mwanadamu lakini katika kusaidia huko tunapata malipo ya kusogeza maisha yetu.So inaposhindikana kulipwa kutokana a hiyo degree yako usisimame na kusema kuwa haina kazi.Value yake inabaki kiwa ni ile ile.
 
kabisa na mtu asipoamua kujiongeza akaishia kusema kuwa ana degree atakula saana msoto ....... kikubwa soma lakini uwe mwepesi kujifunza ili kuona game linaendaje..................................
 


Kabisa mkuu. Elimu bado ina umuhimu wake
 
Hili somo la pesa ni nguvu na inavutwa kiroho wengi awaelewi.
Mswahili ukimbilia kudungwa chale mwili kama chipping na still apati pesa.Huwezi ukawa mchafu kiroho then ukamate pesa, utaishia kuwatajirisha waganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…