Degree ya open university Tanzania ina quality?

Wadau naomba kujua mtu anayejiendeleza kwa aidha bachelor au masters kupitia chuo kikuu huria cha Tanzania thamani yake ikoje soko la ajira

Pia unawezeje soma kwa muda mfupi ikiwa uko kazini na kihitimu?
Karibuni nimshauri mtu hapa
Nenda kasome ni chuo kizuri maximum years kwa degree ni miaka 8 minimum ni miaka 3, ukimaliza units chini ya miaka 3 linakaa jopo kuamua likupe degree au, yaani unaweza chukua degree kwa miaka 2. Kina matawi baadhi ya nchi. Wengi wanasoma huwa tayari wapo kitaa hivyo husoma huku wakipiga mishe kuwasikia wakigombea ajira huwa ni ngumu hii hufanya watu wafikiri degree yake haina soko. Pia kuna matawi baadhi ya nchi.
 
Ni ukwel wasiotaka kuupokea. Ukweli ni kuwa wahitimu wa vyuo maarufu hapa tz.. wanatembelea nyota za vyuo husika. Ila sasa likija suala la individual performance hapo ndio unagundua makapi ni mengi kuliko mbegu zenyewe.
 
Anaekosa sifa za kupanda mlinani anajiunga na chuo huria !! Sio mlinani tu ila vyuo vyote !! Unategemea nini ? Utapata elimu ila huna umaarufu wa mtu aliyehitimu mlimani !
 
Duh haya sawa
 
!! Unategemea nini ? Utapata elimu ila huna umaarufu wa mtu aliyehitimu mlimani !

umaarufu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

niliyoyasema yanaanza kujidhihirisha waziwazi

ngoja niishie hapa
 
Asante kwa ushauri
 
Univ
Open University haijaazia TZ vipo dunidunia zima, na isituoneshe ingnorance, nakama unapenda spoon feeding huwezi kupata degree hapo, angalia grading of university of Tz nauone yagapi, alafuu agalia grading of universities in Africa uone chuo hicho unachisifia kama kipo kwenye top 30 in African. music embark ones us ujinga hapa foforum.
 
Co kwamba ctaki. Ila nafaham unachokisema ni batili. Sijapitia huko nimesoma chuo cha serikali na kazin nimekutana na watu wa out walio vizur. Moja ya vitu wanavyokuwa navyo ni experience.. maana wengi wanakuwa makazin tayar..
Hata hivyo mfumo wa chuo, hata prospectus pia viko on standard. Hakuna mahal mtu anaoita bila kusoma. Hakuna
Hutaki au
 
Ninachokuambia nina uhakika nacho, ceteris paribus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…