Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kasome ni chuo kizuri maximum years kwa degree ni miaka 8 minimum ni miaka 3, ukimaliza units chini ya miaka 3 linakaa jopo kuamua likupe degree au, yaani unaweza chukua degree kwa miaka 2. Kina matawi baadhi ya nchi. Wengi wanasoma huwa tayari wapo kitaa hivyo husoma huku wakipiga mishe kuwasikia wakigombea ajira huwa ni ngumu hii hufanya watu wafikiri degree yake haina soko. Pia kuna matawi baadhi ya nchi.Wadau naomba kujua mtu anayejiendeleza kwa aidha bachelor au masters kupitia chuo kikuu huria cha Tanzania thamani yake ikoje soko la ajira
Pia unawezeje soma kwa muda mfupi ikiwa uko kazini na kihitimu?
Karibuni nimshauri mtu hapa
Ukitaka uwagundue gudhuria interview mbali mbali. Utagundua kuwa jina la chuo halimfanyi mtu kuwa smart.wajinga wajinga fulani tu hivi.... wanakimbizwa tokea kitaa hadi maofisini ila sasa kwenye kujitamba ndio wanaongoza
Ni ukwel wasiotaka kuupokea. Ukweli ni kuwa wahitimu wa vyuo maarufu hapa tz.. wanatembelea nyota za vyuo husika. Ila sasa likija suala la individual performance hapo ndio unagundua makapi ni mengi kuliko mbegu zenyewe.Tatizo la hawa wenzetu waliohamia na mabegi na kupiga kambi kwenye mabweni huku madem zao wakihonga mizigo ili wasipate sapu na wanapokuja huku uraiani wako hovyo kabisa.Mimi nimesoma Open na kipindi nipo field nilikutana idara moja na jamaa zangu waliosoma Mliman na Mzumbe aisee hawa jamaa wako very shallow practically,yaani so sad kwakweli
Acha uongo, open unaweza usifanye mtihani na ukapata AAcha porojo kijana nimekutana na wahitimu wa hapo OUT wapo vizuri sana
Hizi ndo akili za ngamia !Anaekosa sifa za kupanda mlinani anajiunga na chuo huria !! Sio mlinani tu ila vyuo vyote !! Unategemea nini ? Utapata elimu ila huna umaarufu wa mtu aliyehitimu mlimani !
Acha ! Usisome.Ushauri wako ni upi kwa mtu mwenye lengo la kujisomea huko
Duh haya sawaChuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
!! Unategemea nini ? Utapata elimu ila huna umaarufu wa mtu aliyehitimu mlimani !
mmmmmmmmh? hata shule ya kata usipofanya mtihani hupati A ndio iwe OUTAcha uongo, open unaweza usifanye mtihani na ukapata A
Asante kwa ushauriNenda kasome ni chuo kizuri maximum years kwa degree ni miaka 8 minimum ni miaka 3, ukimaliza units chini ya miaka 3 linakaa jopo kuamua likupe degree au, yaani unaweza chukua degree kwa miaka 2. Kina matawi baadhi ya nchi. Wengi wanasoma huwa tayari wapo kitaa hivyo husoma huku wakipiga mishe kuwasikia wakigombea ajira huwa ni ngumu hii hufanya watu wafikiri degree yake haina soko. Pia kuna matawi baadhi ya nchi.
UnivChuo kikuu huria ni chuo cha kisiasa kilichoundwa na serikali kuwasaidia makada waliokuwa kazini ili wasome then wajidai mtaani kuwa wamesoma. Jinsi elimu yake inavyotolewa ni kichekesho na haimsaidii mhitimu kuwa creative na great thinker km mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Acha uongo, open unaweza usifanye mtihani na ukapata A
Hutaki auMh hakuna kama iko. Eti asifanye mtihan apate A... nope
Hutaki au
Ninachokuambia nina uhakika nacho, ceteris paribusCo kwamba ctaki. Ila nafaham unachokisema ni batili. Sijapitia huko nimesoma chuo cha serikali na kazin nimekutana na watu wa out walio vizur. Moja ya vitu wanavyokuwa navyo ni experience.. maana wengi wanakuwa makazin tayar..
Hata hivyo mfumo wa chuo, hata prospectus pia viko on standard. Hakuna mahal mtu anaoita bila kusoma. Hakuna