niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Aliye imba elimu sio vyeti, hakika alikua sahihi kabisa. Degree za vijana wetu siku hizi zipo kwenye vyeti sio kichwani. Wewe mwenye degree ya kwenye vyeti ya fani hiyohiyo, ukute ukipewa kazi anayoifanya zembwela huiwezi.
Yani kama kijana una degree hata kama kwa sasa huna kazi usije ukadharau elimu yako hata siku moja kwasababu kuna watu wana tamani wangekuwa nayo endelea kuamini una asset nzuri
asshole!,katika shule yako uliyounga unga kwa kuchangiwa na kijij ada hujui kama kuna kukosea ama kwa ulimi au maandinshi?
Fag',na wewe unadai umesoma!
Inaonyesha umezoea kuchapwa na"nyama mfupa".
Huo ni ugonjwa wa kuwashwa na njia ya kutolea chakula kilichosagwa tumboni.
Acha kufuata kila mwenye ndevu ukidhani ni bahasha"envelop"
GEI mkubwa wewe
Vijana wako huku mtaani kazi yao ni kushinda kwenye vijiwe vya kahawa, kuchomekea na kuweka vibwagizo vya maneno ya kizungu. Kazi kwao mpaka aajiriwe.
Hata kama haikusadii mtaani?
Bado wabongo tuna tabia ya kuthamini vitu vya nje na kudharau vya kwetu, huyu Ze mbwela ni mtangazaji mahiri ambae anaweza kushika hisia za wasikilizaji wake kwenye vipindi vyake, na nataka niwaambie kuwa hiyo kazi anayoifanya alipitia vigezo vyote vya utangazaji na ndio maana yuko pale, na ninaamini kuwa watangaji wengi sana wanatamani kuwa kma Zembwela lkn wanajua hawamfikii ata kama wana elimu kutoka vyuo vya nje, kwa hiyo tusimponde mtangazaji wetu mzalendo ambae elimu yake ya utangazaji kaipata hapa hapa bongo na mwenye kuijua jiografia ya tz na maisha ya watanzania, ( big up kaka Zembwela ) kazi yako inaonekana.
Kile kipindi ilitakiwa apatikane mtangazaji mwenye akili timamu, halafu Zembwela apewe EA Drive mida ya jioni wakati tunapambana na foleni kurudi nyumbani tunasikiliza ujinga wake
Ulikua unauliza ili iweje?
Elimu aliyosoma Zembwela ni namna ya kukaza sauti yake(kuwa nzito)kwakuwa mwanzo alikuwa mbanapua.xo hakuna degree pale kumkichwa cha Zembwela!!Inasemekana kuwa kule East Africa Radio na TV Zembwela anakubalika sana kwa kuwa degree yake ya uandishi wa habari kaisomea ughaibuni.Hivi ni nchi gani wakuu?
Duu mkuu umemtukana sanaa asee
Kumbe akili yangu fupi. Sorry mjuvi...lary king ndo umfananushe na zembwela??? wacha ushabiki maandaz bwana mdogo