Bado wabongo tuna tabia ya kuthamini vitu vya nje na kudharau vya kwetu, huyu Ze mbwela ni mtangazaji mahiri ambae anaweza kushika hisia za wasikilizaji wake kwenye vipindi vyake, na nataka niwaambie kuwa hiyo kazi anayoifanya alipitia vigezo vyote vya utangazaji na ndio maana yuko pale, na ninaamini kuwa watangaji wengi sana wanatamani kuwa kma Zembwela lkn wanajua hawamfikii ata kama wana elimu kutoka vyuo vya nje, kwa hiyo tusimponde mtangazaji wetu mzalendo ambae elimu yake ya utangazaji kaipata hapa hapa bongo na mwenye kuijua jiografia ya tz na maisha ya watanzania, ( big up kaka Zembwela ) kazi yako inaonekana.