Degree ya Zembwela

Degree ya Zembwela

Aliye imba elimu sio vyeti, hakika alikua sahihi kabisa. Degree za vijana wetu siku hizi zipo kwenye vyeti sio kichwani. Wewe mwenye degree ya kwenye vyeti ya fani hiyohiyo, ukute ukipewa kazi anayoifanya zembwela huiwezi.
 
Tena kwa kujing'atang'ata kama ulimi una pilipili.
 
Yani kama kijana una degree hata kama kwa sasa huna kazi usije ukadharau elimu yako hata siku moja kwasababu kuna watu wana tamani wangekuwa nayo endelea kuamini una asset nzuri

Vijana wako huku mtaani kazi yao ni kushinda kwenye vijiwe vya kahawa, kuchomekea na kuweka vibwagizo vya maneno ya kizungu. Kazi kwao mpaka aajiriwe.
 
asshole!,katika shule yako uliyounga unga kwa kuchangiwa na kijij ada hujui kama kuna kukosea ama kwa ulimi au maandinshi?
Fag',na wewe unadai umesoma!
Inaonyesha umezoea kuchapwa na"nyama mfupa".
Huo ni ugonjwa wa kuwashwa na njia ya kutolea chakula kilichosagwa tumboni.
Acha kufuata kila mwenye ndevu ukidhani ni bahasha"envelop"
GEI mkubwa wewe

Duu mkuu umemtukana sanaa asee
 
Vijana wako huku mtaani kazi yao ni kushinda kwenye vijiwe vya kahawa, kuchomekea na kuweka vibwagizo vya maneno ya kizungu. Kazi kwao mpaka aajiriwe.

Kuna umuhimu wa kuwa na mradi wa kuingiza japo elfu 3 kwa siku.
 
Bado wabongo tuna tabia ya kuthamini vitu vya nje na kudharau vya kwetu, huyu Ze mbwela ni mtangazaji mahiri ambae anaweza kushika hisia za wasikilizaji wake kwenye vipindi vyake, na nataka niwaambie kuwa hiyo kazi anayoifanya alipitia vigezo vyote vya utangazaji na ndio maana yuko pale, na ninaamini kuwa watangaji wengi sana wanatamani kuwa kma Zembwela lkn wanajua hawamfikii ata kama wana elimu kutoka vyuo vya nje, kwa hiyo tusimponde mtangazaji wetu mzalendo ambae elimu yake ya utangazaji kaipata hapa hapa bongo na mwenye kuijua jiografia ya tz na maisha ya watanzania, ( big up kaka Zembwela ) kazi yako inaonekana.
 
Ana elimu/hana elimu siyo hoja. Kama mmekalishwa bora kukubali uwezo wa mtu na siyo kufanya huu utoto wa kwenye social media maana haitabadili kitu.

Kama unahitaji kumfaham zaidi nenda muulize. Sidhani kama amemuajiri msemaji wake na kama amemuajiri sidhani kama yupo hapa ili akujibu.

Huu upuu.zi wa kujadili watu hauna faida kwa Taifa letu.
 
Hana degree yyte hivi wamefika kweli form 4 au ndo wale waliokimbia umande
 
Bado wabongo tuna tabia ya kuthamini vitu vya nje na kudharau vya kwetu, huyu Ze mbwela ni mtangazaji mahiri ambae anaweza kushika hisia za wasikilizaji wake kwenye vipindi vyake, na nataka niwaambie kuwa hiyo kazi anayoifanya alipitia vigezo vyote vya utangazaji na ndio maana yuko pale, na ninaamini kuwa watangaji wengi sana wanatamani kuwa kma Zembwela lkn wanajua hawamfikii ata kama wana elimu kutoka vyuo vya nje, kwa hiyo tusimponde mtangazaji wetu mzalendo ambae elimu yake ya utangazaji kaipata hapa hapa bongo na mwenye kuijua jiografia ya tz na maisha ya watanzania, ( big up kaka Zembwela ) kazi yako inaonekana.

Tena anaijua mitaa yote ambayo inawahusu Watanzania wanaoishi maisha halisi.
 
Hana degree lakn anafanya wasoweza kufanya wenye hiyo degree.Wengi tunakubali anachofanya mseLA zembwela
 
Mleta maada ana agenda binafsi na Zembwela!!!
Watangazaji wangapi wa vpind kama zembwela wanaelimu ya juu na ipi performance yao?
Elimu yenyewe hii ya kukariri?
Jamaa anafanya kazi nzuri kiasi kwamba hakuna umuhimu wa kujua elimu yake..Ufanisi ktk kazi yake ni kiashiria tosha juu ya elimu yake..
Tuachage hizoo mbwembwe.
 
Mnafikiri degree ni kuongea au? Na alisomea wap tusisikie na wakati wote kwanin haijawai kusemwa kinacho fanya mseme kwa sasa ni kile kipind cha uswaz? Hata wew ukiwa na maneno mengi unaweza kukifanya
 
Kile kipindi ilitakiwa apatikane mtangazaji mwenye akili timamu, halafu Zembwela apewe EA Drive mida ya jioni wakati tunapambana na foleni kurudi nyumbani tunasikiliza ujinga wake

Mimi mwenyewe namkubali sana huyu zembwela hao wasomi mnaowasemea naona wote njaanjaa tu hamna jipya mwenye kijiba chaba cha kumoyo atembee kulee.
 
Inasemekana kuwa kule East Africa Radio na TV Zembwela anakubalika sana kwa kuwa degree yake ya uandishi wa habari kaisomea ughaibuni.Hivi ni nchi gani wakuu?
Elimu aliyosoma Zembwela ni namna ya kukaza sauti yake(kuwa nzito)kwakuwa mwanzo alikuwa mbanapua.xo hakuna degree pale kumkichwa cha Zembwela!!
 
Duu mkuu umemtukana sanaa asee

Ameniletea kejeli sana huyo jamaa,
Samahani kwa kukwaza watu wengine.
Huu ni uwanja wa kufahamishana na kuongezeana maarifa, si kudharauliana.
Humu kuwa watu wenye ufahamu tofauti, hivyo basi tumia ulichonacho kwa maslahi ya wengine badala ya kujivuna kwa upuuzi.
Na hisi kaelimu uchwara alikonako hakajamsaidia, na ndiyo maana tunawaheshimu wenye vipaji ambao wametambua kuwa wanavyo.
Maana bola kuvitambua visingekuwa na maana kwao hao anaowaita hawajasoma
 
Back
Top Bottom