Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa upande wa kusimamia show kwa umceSijawi kupenda utangazaji wake,yani ni mjuajia mnoo afu anaovercontrol had mtu wanaemuhoji akuuu!! Mie nlikua nampenda yule kaka wa east africa drive,sijui kahamia wapi SEBASTIAN jaman!! loo lile lisauti mie roho kwatuu,
lary king ndo umfananushe na zembwela??? wacha ushabiki maandaz bwana mdogo
Sijawi kupenda utangazaji wake,yani ni mjuajia mnoo afu anaovercontrol had mtu wanaemuhoji akuuu!! Mie nlikua nampenda yule kaka wa east africa drive,sijui kahamia wapi SEBASTIAN jaman!! loo lile lisauti mie roho kwatuu,