Degree ya Zembwela

Degree ya Zembwela

Zembwela ni kati ya watangazaji mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kutangaza na pia kujenga hoja kwenye mambo ya msingi na kuhoji pia!

Kuna watu wana degree hawamfii uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja!
 
Tafuteni wenye degrees kwetu uswazi huyo ana PHD,nadhani performance ndo cha msingi wangapi wana degree but hawana vipaji na wao wanataka kuwa kama zembwela na wanamkubali na wengine kumuonea kijicho.
 
Sijawi kupenda utangazaji wake,yani ni mjuajia mnoo afu anaovercontrol had mtu wanaemuhoji akuuu!! Mie nlikua nampenda yule kaka wa east africa drive,sijui kahamia wapi SEBASTIAN jaman!! loo lile lisauti mie roho kwatuu,
 
kwa upande wa kusimamia show kwa umce
Huwa anaboa zembwela mfano show ya kilimanjaro umcee ulimshinda hata mpoki mwenyewe me nae simkubali..k2 vanesa na mc pilipili wanajua sana
 
Millard Ayo hana degree na ni mmoja ya watangazaji mahiri na tajiri nchini.Degree ni vyeti tu kama vingine.
 
Sijawi kupenda utangazaji wake,yani ni mjuajia mnoo afu anaovercontrol had mtu wanaemuhoji akuuu!! Mie nlikua nampenda yule kaka wa east africa drive,sijui kahamia wapi SEBASTIAN jaman!! loo lile lisauti mie roho kwatuu,

Yupo 102.6 choice fm(Seba the worrior),tune hapo utamsikia mchana
 
Back
Top Bottom