Tetesi: Dejan ashinda Kesi, Simba kumlipa 500 million

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Mchezaji aliyewahi kuichezea Simba kwa siku 54 Dejan Georgijević ameshinda kesi ya madai dhidi ya Simba na anatakiwa kulipwa milion 500 za Kitanzania kwa kukiukwa mkataba wake wakati anachezea Simba, FIFA imeipa Simba siku 45 kuhakikisha inalipa fedha hizo.

NB: Mlete mzungu [emoji23][emoji23][emoji112]

 
Kwani kuna nini cha zaidi. Hivi hao FIFA wanaelewa lakini madhara wanayotaka kuyaleta? Kweli tutoe pesa zote hizo tumpe mtu mmoja!? Je wale vibarua kwa mo kule ndani atawalipa nani? FIFA naomba mtoe hukumu kws HAKI, hiyo pesa nying sana kanjibai atatuua sisi wa viwandani
 
Acha dhihaka.Ntakuchapa makofi mkuu.
 
Mudi mwenyewe kafunga viwanda vyake
 
Vilabu vya Tanzania vimezidi ubabaifu.

Acha vipigwe spana!
 
Mlete Mdhungu.
 
Hahaaaaa, atawalamba vibao na kuwatapeli hadi basi.
 
Kwa haki kwa nani?
Alipwe ili middle man wa mchezaji hapo Simba naye achukue 10% yake na iwe ni funzo kwa watoa mikataba ya kikanjanja wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…