Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
[emoji23][emoji23]Nakubaliana na maoni yako. Sioni sababu ya Simba kumlipa Dejan aliyekatisha mkataba miezi miwili tu baada ya kuanza kazi.
Halafu timu zetu pia zijifunze kuacha usajili wa kukurupuka. Dejan aliletwa na kocha ukionekana kabisa ni usajili wa mchongo. Ahmed Ally akashadadia "Mlete Mudhungu kumbe tapeli. Ahmed akatwe mshahara achangie malipo.
Juzi nimemsikia Wanda Kidi wa mchongo eti anaishitaki timu ambayo hajawahi kucheza hata Mechi moja wala kufika nchini. Huu uhuni TFF ukataeni mnaumiza vilabu vyenu Kwa kupokea Kila kitu toka FIFA bila kuhoji.