Tetesi: Dejan ashinda Kesi, Simba kumlipa 500 million

[emoji23][emoji23]
 
Itakuwa unajua mengi.maana madereva walikuwa wanatishia kugoma kwa kukatwa posho za safari, ikiwemo gari inapoharibika na kuka muda mrefu kungoja matengenezo.
 
Kwani mkataba si alivunja mwenyewe kule Zanzibar?au hawa wageni wameshaona Tanzania sehemu ya kuchuma?
Mikataba Ina vipengele vingi.kuna vipengele kadha hawakumtekelea .Kama apartment ya pekeeake,wakisafiri kulala room pekeake.gari havikutekelezwa.kisheria Simba alikiuka makubaliano so alikuwa na haki kuuvunja na kulipwa
 
Je hizo ni sababu za kuvunja mkataba, Kama ni sababu thamani yake ni milioni. 500?
 
Mikataba Ina vipengele vingi.kuna vipengele kadha hawakumtekelea .Kama apartment ya pekeeake,wakisafiri kulala room pekeake.gari havikutekelezwa.kisheria Simba alikiuka makubaliano so alikuwa na haki kuuvunja na kulipwa
Je hizo ni sababu za kuvunja mkataba
 
haya,walikuwa wanawacheka yanga,sasa kiko wapi
 
Hivi hicho kibunda anapiga pekeake kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…