mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Kwahyo ulitakamfungaji asubiri kipa akae golini!?Goli Mzungu amefunga baada ya kipa wa Kagera kugongana na mchezaji. Golini hakukuwa na Kipa. Na refa hakusimamisha mchezo. Haikuwa Fair Play. Ila Simba afanyiwe hicho kitendo Afungwe yeye sasa. Utaskia Mwamuzi kafungiwa, CEO karopoka, Visipika Karopoka, Wachambuzi wa mchongo wana ropoka. Ila kwa wengine Fresh tu.
Utopolo FC kweli mwenye akilli ni Mzee kikwete na Mzee Sunday Manara Tu,
Wengine wote vichwa vyao ni vifuniko vya shingo.