Dejan wa Simba SC afunga goli huku akiwa amefumba macho

Kwahyo ulitakamfungaji asubiri kipa akae golini!?

Utopolo FC kweli mwenye akilli ni Mzee kikwete na Mzee Sunday Manara Tu,

Wengine wote vichwa vyao ni vifuniko vya shingo.
 
Ngoja aanze kwenda mikoani huko, watamtukana sana mzungu wa watu.
 
Comments hizi kinamna zinaendana na avatar hiyo uliyochagua
 
Ebu ficha ujinga wako mkuu hata kama wenye akili pale ni wawili tu.
 
Kelele za utani ndio zimesaidia bila Hivyo asingefunga alitaka kujisafisha!
Msimu ujao mtuletee mchina!
 
Kwahyo ulitakamfungaji asubiri kipa akae golini!?

Utopolo FC kweli mwenye akilli ni Mzee kikwete na Mzee Sunday Manara Tu,

Wengine wote vichwa vyao ni vifuniko vya shingo.
Tulitaka refa apulize filimbi. Faulo baada ya kipa kugongwa kichwani.
 
Ikitokea lini mkuu? Au unataka tuamini mawazo yako [emoji23]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…