Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 6,007 Reaction score 15,216 Oct 12, 2026 #1 Msemo wa kukumbuka shuka kumekucha ni afrika. Dejavu japo inapingwa ni ile kwamba unaweza kuzani kuwa ulishawahi kuwepo au lolote ila ndio umeshakuwa hapo ulivyo. Afrika ni dejavu ya majuto na ningelijua.
Msemo wa kukumbuka shuka kumekucha ni afrika. Dejavu japo inapingwa ni ile kwamba unaweza kuzani kuwa ulishawahi kuwepo au lolote ila ndio umeshakuwa hapo ulivyo. Afrika ni dejavu ya majuto na ningelijua.
S salkam bous Member Joined Oct 3, 2026 Posts 43 Reaction score 71 Oct 12, 2026 #2 Ni nini hiyo dejavu emb briefly explain maana wengine tunapenda definition kwanza
S salkam bous Member Joined Oct 3, 2026 Posts 43 Reaction score 71 Oct 12, 2026 #5 dragon5 said: mbona kama msamia mpya Click to expand... Au nao tumeukopa kutoka lugha za wenzetu?