cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mambo ni tafranii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah! Aiseeee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni tafranii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaah! Aiseeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipoo rafikiii.[emoji2] Niliingia kwenye huu uzi kukutafuta wewe tu. Hatimaye nimekupata. Maana kama ni kuhusu hii habari, kitambo tu nilishaisoma.
Ilikuwa mara mojaDele alikuwa iweje mwamba Kama Dele awe amelegezwa marinda na apige mashuti yale
Nitakuwa wa mwisho kuamini
Mimi nilisema hili pamoja na alubati jamaa Proved akacheka kuwa lugha ni tatizo sasa sijui alikuwa akiamaanisha mimi au mleta uzi , kwa vile nimesoma St Kanyumba nikakubali matokeo.Delle was molested alishikwa shikwa kimwili Na mtu mwingine ambaye hakutaja Ni mwanaume au mwanamke
Mods badilisheni huu uzi tafadhali
Alibakwa na rafiki wa mama yake hivyo ni mwanamke aliyembaka na sio mwanaume.Alibakwa na mwanaume au mwanamke?
Zipo AC ndogo zaidi ya desk printer ya Epison Mkuu, sishangai ikiibiwa.Una uhakika na unachokizungumza?
Haya mambo hufanyika sana majumbani mwetu
Kumbe Africa ni shule tosha tena ni Chuo cha mafunzo"I was sent to Africa to learn discipline and then I was sent back.
Hv chumba chenye ukubwa wa futi8kwa10 unaweza weka AC kubwa kwel???Zipo AC ndogo zaidi ya desk printer ya Epison Mkuu, sishangai ikiibiwa.
Huyo mada ikishakuwa na ukakasi tu lazima umkute na nna uhakika huyu ni wakala wa hzi vitu si bure😃 Niliingia kwenye huu uzi kukutafuta wewe tu. Hatimaye nimekupata. Maana kama ni kuhusu hii habari, kitambo tu nilishaisoma.
Nilimaanisha mleta uzi na wachangiaji hawakuelewa maana ya neno 'molested'.....kwani moja kwa moja walitafsiri ni 'kulawitiwa' tu.Mimi nilisema hili pamoja na alubati jamaa Proved akacheka kuwa lugha ni tatizo sasa sijui alikuwa akiamaanisha mimi au mleta uzi , kwa vile nimesoma St Kanyumba nikakubali matokeo.
Stori yake inautata nado kusema alilawitiwa moja kwa moja sababu kamtaja rafiki wa Mama yake haujaweka wazi kuwa wa kiume au wa kike na kuwa specific kipi haswa alifanyiwa.
Huyo ni bodaboda ni muongo sana chakushangaza ushamuaminiZipo AC ndogo zaidi ya desk printer ya Epison Mkuu, sishangai ikiibiwa.