Dele Ali: Nililawitiwa nikiwa na miaka 6. Nikiwa na miaka 8 nikaanza kuuza dawa za kulevya

Kuwa molested sio kulawitiwa we jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umesikia wapi alilawitiwa. Tatizo lugha bongo bahati mbaya ndo maana wakenya wanatuchekaga na kiswanglishi chetu
 
Delle was molested alishikwa shikwa kimwili Na mtu mwingine ambaye hakutaja Ni mwanaume au mwanamke

Mods badilisheni huu uzi tafadhali
Mimi nilisema hili pamoja na alubati jamaa Proved akacheka kuwa lugha ni tatizo sasa sijui alikuwa akiamaanisha mimi au mleta uzi , kwa vile nimesoma St Kanyumba nikakubali matokeo.

Stori yake inautata nado kusema alilawitiwa moja kwa moja sababu kamtaja rafiki wa Mama yake haujaweka wazi kuwa wa kiume au wa kike na kuwa specific kipi haswa alifanyiwa.
 
English players wana matatizo mengi sana ndio maana hawachezi mpira kwa mda mrefu
 
Chachu Ombara tuambie ukweli usituchore hiyo moleseted aliyoiongea dele kwa nini umeiita kulawitiwa? Hivi ni kweli mwanetu Dele alipigwa pipe au lilikua ni lishangazi tu likampa utamu
 
Haya mambo yanafanyika sana majumbani na sehemu nyingine ni vile tu watu hawasemi
 
😃 Niliingia kwenye huu uzi kukutafuta wewe tu. Hatimaye nimekupata. Maana kama ni kuhusu hii habari, kitambo tu nilishaisoma.
Huyo mada ikishakuwa na ukakasi tu lazima umkute na nna uhakika huyu ni wakala wa hzi vitu si bure
 
Nilimaanisha mleta uzi na wachangiaji hawakuelewa maana ya neno 'molested'.....kwani moja kwa moja walitafsiri ni 'kulawitiwa' tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…