kamdudu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 2,007
- 1,931
dah ! haya ambo ndio yalinishinda mpaka nikakimbia shule mmae.Market share ya pc kwa mwaka 2021, Lenovo: 24%, HP: 21%, Dell: 17%, Apple: 8%
Maana yake kama pc 1000 ziliuzwa mwaka 2021 basi kila kampuni itakuwa imeuza idadi ifuatayo.
Lenovo: 240 pcs
HP: 210 PCs
Dell: 170PCs
Apple: 80PCs
Kutelemka kwa mauzo mwaka 2022 kwa mujibu taarifa iliyopo, Lenovo: 28%, Dell: 37%, HP: 29% na Apple: 2%
Baada ya mauzo kushuka idadi ya pc kwa kila kampuni itakuwa kama ifuatavyo
HP: 210 - (210*29%) = 149 PCs
Lenovo: 240 - (240*28%) = 172 PCs
Dell: 170 - (170*37%) = 107 PCs
Apple: 80 - (80 * 2%) = 78 PCs
Kwa hesabu hizo hapo ni kampuni ipi ambayo imeuza PCs nyingi zaidi kwa mwaka 2022? Na ukiulizwa kampuni ipi imeongoza kwa mauza unasema ni apple?
Au definition ya mauzo kwako ikoje?
oya ngoja nikavute ganja kwanza nitakucheck mida au sio ?⛷