DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

dah ! haya ambo ndio yalinishinda mpaka nikakimbia shule mmae.

oya ngoja nikavute ganja kwanza nitakucheck mida au sio ?⛷
 
computer zote nzuri ila unakuta nyingi znakua bei kubwa sana

Niliona ya apple ya mwaka jana macbook pro inafika 11milion za madafu[emoji2][emoji2].

Halafu kwenye PC sio kama ktk simu,kwenye PC apple ni moja ya kampuni zinazouza PC afandhali[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Marketing

Marketing ni small part, mauzo yao mengi asilimia kubwa hayatoki kwenye computers ,ni kwenye simu, ikifuatiwa na computers.
What apple sells is an idea na vile all their device ni top range , hawana mid range devices kama kampuni zingine.
 
kwa nini Apple anauza sana computers zao wakati computers zenyewe hata haziko kikazi kama computers zinazotumia Windows ? [emoji848]
Computer za apple haziko kikazi?

Umenishangaza kwa hii comment... do your research again.
 
Computer za apple haziko kikazi?

Umenishangaza kwa hii comment... do your research again.
kwenye macOs unaweza uka install drivers mfano mtk,Qualcomm,SPD kwa sisi tunao deal na softwares za simu ?
unaweza uka copy na ku paste data kwenye simu kutoka kwenye macBook kutumia macOs ?

naposema kikazi hunielewi ?
 
Akili kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…