Dem ananishangaa tabia yangu.

Ataanzankukuelewa hii lugha ikikuungizia pesa.
 
Arusha wakiendelea hivi, miaka ijayo watakuwa na lugha yao binafsi au unasemaje bablai ya R?
 
Hizo hela unazolipiwa chuo. Zitafutie shughuli yenye umuhimu zaidi.
 
nimekunyaka bablai..nisogezee manamba ya huyo mamiloo nimalizage makazi
 
Hapo n yechu yechu,yedede yentee
 
Arusha wakiendelea hivi, miaka ijayo watakuwa na lugha yao binafsi au unasemaje bablai ya R?
Lugha tunayo tayari,Rais tunae Spark Dawg Dawg wise baba la baba,Hii ni nchi nyingine dingii inaitwa United State of Arusha(USA),,hatuna ela yetu tu,ndo tupo kwenye huo mchakato tupate ela etu tujitenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…