Dem ananishangaa tabia yangu.

Dem ananishangaa tabia yangu.

Dogo hakunaga ujanja kwenye kuvuta ugoro, bangi au kukataa shule kisa kuimba Gangsta Rap. Upuuzi puuzi tu, kama hivi uko chuo nakushauri soma sana kwa bidii Elimu ndiyo itakuweka mjini. Haya mengine ya sijui mimi natoka Kijenge Juu hayasaidiii ukiwa huku mtaani.
Nashukuru sana dingii kwa ushauri wako ntaufanyia kazi.
 
Pelekea makali huyo manzi ukimpa bapa dharau
 
Vijana wa Arusha na Nairobi wanajifanya wajuaji sana lakini n vichwa Nazi tu ovyo kabisa...
 
Yaani ni fulu fululu mpaka Mbulu kwa Mama Sululu.![emoji23][emoji23]
 
Oy oy it'z another beautifull day,,by the way kidhungu ni kisanga acha nikaushe nirudi kwenye Lugha ya taifa,,Mko vyema wanajamvi?!....Bac aikatai,,,Kuna mamiloo tunapiga nae book apa chuo,asa uyu mamdii amekua akikimbiza kinyama class kwa kila medani iwe ya kimataifa hadi ya tarafa,Obvious hana mpinzani kwa uzuri,Chuchu kwanza zimesimama utafikiri zimefufuliwa na yule mchungaji wa Sauzi afrika,Tade(zigo)lina kama kilo 30 na ush*nzi ivi,Toto lips dendalee apo fiade,Guu la Champagne na masifa mengine kaa hayo,,Machalii wote class walishawahi kumsalandia uyu mamdii ili wayajenge Mapendo Catholic lakini wanaangukia kiuno,So leo nilikua nime chill nameremeta ki tag ubavu akaja akaanza kunichukua maelezo na maswali kaa niko kwenye interview ya XXL"Mikazo kwanini Wavulana wote wamenitongoza kasolo wewe tu?Unanichukia eti?"kabla sijamjibu nikameza kwanza fundo la maji nikarekebisha na saa kidogo,Nikamjibu"Kila anaekutongoza hamaanishi anakupenda"Nikakohoa kidogo kisha nika-mute sekunde kadhaa nikaendelea tena uku nimemkazia sura kama nafunga bao la first"Mbona mimi ma'manzi wote humu ndichi wamenitongoza kasolo wewe tu?nikuulize sasa namimi..Unanichukia?"Kidume mwenye ndevu ingawa bado chache ila zinatosha kuombea maji Nikanyanyuka nikabeba kibegi changu nikapita ivi nikimwacha yuko Dilemma..Kiukweli namwelewaga kisoro but naogopaga kumtonya so navunga kama sina mpango nae uku nagugumia chinichini kaa gebwe,,,Wasalaam......



@ChaliiYaKijengeJuu
utoto raha
 
Oy oy it'z another beautiful day,,by the way kidhungu ni kisanga acha nikaushe nirudi kwenye Lugha ya taifa,,Mko vyema wanajamvi?!....Bac aikatai,,,Kuna mamiloo tunapiga nae book apa chuo,asa uyu mamdii amekua akikimbiza kinyama class kwa kila medani iwe ya kimataifa hadi ya tarafa,Obvious hana mpinzani kwa uzuri,Chuchu kwanza zimesimama utafikiri zimefufuliwa na yule mchungaji wa Sauzi afrika,Tade(zigo)lina kama kilo 30 na ush*nzi ivi,Toto lips dendalee apo fiade,Guu la Champagne na masifa mengine kaa hayo,,Machalii wote class walishawahi kumsalandia uyu mamdii ili wayajenge Mapendo Catholic lakini wanaangukia kiuno,So leo nilikua nime chill nameremeta ki tag ubavu akaja akaanza kunichukua maelezo na maswali kaa niko kwenye interview ya XXL"Mikazo kwanini Wavulana wote wamenitongoza kasolo wewe tu?Unanichukia eti?"kabla sijamjibu nikameza kwanza fundo la maji nikarekebisha na saa kidogo,Nikamjibu"Kila anaekutongoza hamaanishi anakupenda"Nikakohoa kidogo kisha nika-mute sekunde kadhaa nikaendelea tena uku nimemkazia sura kama nafunga bao la first"Mbona mimi ma'manzi wote humu ndichi wamenitongoza kasolo wewe tu?nikuulize sasa namimi..Unanichukia?"Kidume mwenye ndevu ingawa bado chache ila zinatosha kuombea maji Nikanyanyuka nikabeba kibegi changu nikapita ivi nikimwacha yuko Dilemma..Kiukweli namwelewaga kisoro but naogopaga kumtonya so navunga kama sina mpango nae uku nagugumia chinichini kaa gebwe,,,Wasalaam......



@ChaliiYaKijengeJuu


Dah! Hizi nyuzi zingekua na video zake ingekua poa sana... Najaribu tu kujenga picha kichwani ya scene ya interview yako na mam'dii
 
Write your reply...acha usoro dingilai ungetupia verse mbona unakuwa mshambaa Kama njeree mchane live huyo mamiloo unaogopa nini chalii angu kuna kupata na kukosa yote matokeo hayo chalii za chuga hatuko na uoga kama hizi za dar
 
Write your reply...acha usoro dingilai ungetupia verse mbona unakuwa mshambaa Kama njeree mchane live huyo mamiloo unaogopa nini chalii angu kuna kupata na kukosa yote matokeo hayo chalii za chuga hatuko na uoga kama hizi za dar
Aikwereki budaah
 
Nimesoma mstari wa kwanza tu nimetupa huko thread nzima. Sitakagi ujinga ujinga maishani
 
Back
Top Bottom