Demi amenichunia. Nifanyeje?

Demi amenichunia. Nifanyeje?

Hapo ndo pagumu.
Namba yake nikikupa ndo nampeperusha mazimaa
Siku hizi ndiyo maana hata ndoa hazidumu. Unaanzaje kumbembeleza mwanamke? Umlishe, akiumwa umuhudumie, umpe pesa zako n.k Unambembeleza mkoloni kbsa. Mwanamke akilinga achana naye
 
Back
Top Bottom