Asante, pole na wewe!
Unatoka family ya aina ipiAsante, pole na wewe!
Sitaki. Nakuletea karamga supu ya pweza na mihogo
Mpole kiasi mtundu kiasi
Nuclear family.
Unaweza kukasirishwa Na kufurahishwa haraka mtu akikufanyia nnMpole kiasi mtundu kiasi
Nakasirishwa na mtu mkorofi maana sipendi ugomvi na ni mwepesi kusamehe.
Katika malezi yako unadhani nini ulikosa toka kwa wazaziNakasirishwa na mtu mkorofi maana sipendi ugomvi na ni mwepesi kusamehe.
Nachukizwa na mtu anayelazimisha niishi kama yeye au nifikiri kama yeye
Bila kutaja kabila unatokea kanda ipi ya TanzaniaNuclear family.
Taratibu usitukanyage tulio kaa![emoji2]Napita tu.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]