Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

nukuu "nimewahi piga kura Mara moja tu 2005"

2017-2005=17

umri wa mpiga kura ni kuanzia 18yrs...so tufanye 18+17=35!

asee hapana tunahangaishana na bibi mwenye wajukuu muosha rungu uliza maswari ya staha huyo ni kama bi mkubwa wko
Kapige mswaki uko dogo utoe ugoro wako

Washa penzi kama moto demi$connor
 
Nini kikifanyika unadhani kitawasaidia vijana wasio Na ajira!
Je kilimo ni mkomboz kwa vijana walio wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ufufuaji wa viwanda, na serikali ikianzisha mashamba ikawa inaajiri wataalamu na vibarua tatizo la ajira litapungua.
Lakini kuna vijana ni wavivu kazi zipo hawataki kufanya.
.
.
Kilimo ni mkombozi kwa vijana tatizo uwezo mdogo maana kinacholipa ni kilimo cha kisasa ambacho ni gharama kidogo.
 
Kiongozi yupi ni role model kwako
Kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom