General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Anipotezee yy, mi akinifuatafuata nalala nae.Poa poa. Potezeaneni..
Sent From Ikulu-Magogoni street
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anipotezee yy, mi akinifuatafuata nalala nae.Poa poa. Potezeaneni..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Huwa network zake zinakata
Kama kijana akiwa Na laki tano mkononi hana kazi utamshauri ili hiyo pesa imnufaishe!Can't say. Kwasababu maalum! Ni mjasiriamali
Yes mimi ni 35+ sio mtoto mdogo!nukuu "nimewahi piga kura Mara moja tu 2005"
2017-2005=17
umri wa mpiga kura ni kuanzia 18yrs...so tufanye 18+17=35!
asee hapana tunahangaishana na bibi mwenye wajukuu muosha rungu uliza maswari ya staha huyo ni kama bi mkubwa wko
Ni maamuzi magumu na si ya kufurahisha, nitasikitika pia
Kapige mswaki uko dogo utoe ugoro wakonukuu "nimewahi piga kura Mara moja tu 2005"
2017-2005=17
umri wa mpiga kura ni kuanzia 18yrs...so tufanye 18+17=35!
asee hapana tunahangaishana na bibi mwenye wajukuu muosha rungu uliza maswari ya staha huyo ni kama bi mkubwa wko
Nikumbushe nitalijibu..Kuna swali moja la rich pol limepotezewa...ngoja niache kusoma nkanywe pombe za nafaka nilale.
Akha!Maeneo yako
Kwahiyo unajiuza?
uende wapidemi swali la mwisho ushawahi lia kisa mchepuko kakutibua! nijibu nile zangu mie!
Toa ugoro na wwAkha!
Mgeni kabisaa
Hii kauli ya kuvunja moyo sana kwa wanaumeYes lakini itategemea na amount.
Unaamini katika usawa Wa kijinsia!Ni maamuzi magumu na si ya kufurahisha, nitasikitika pia
Ufufuaji wa viwanda, na serikali ikianzisha mashamba ikawa inaajiri wataalamu na vibarua tatizo la ajira litapungua.Nini kikifanyika unadhani kitawasaidia vijana wasio Na ajira!
Je kilimo ni mkomboz kwa vijana walio wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka apa na ugoro wako na ww li kichwa emptyHii kauli ya kuvunja moyo sana kwa wanaume
Kiongozi yupi ni role model kwakoUfufuaji wa viwanda, na serikali ikianzisha mashamba ikawa inaajiri wataalamu na vibarua tatizo la ajira litapungua.
Lakini kuna vijana ni wavivu kazi zipo hawataki kufanya.
.
.
Kilimo ni mkombozi kwa vijana tatizo uwezo mdogo maana kinacholipa ni kilimo cha kisasa ambacho ni gharama kidogo.