Itategemea na interest yake. Online business inalipa pia. Mitumba, chakula etcKama kijana akiwa Na laki tano mkononi hana kazi utamshauri ili hiyo pesa imnufaishe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh....[emoji15] [emoji15] [emoji15]pls, u better to fuckk off my dear, take ur own way
Sent From Ikulu-Magogoni street
Pole. Maisha ndivyo yalivyo.Hii kauli ya kuvunja moyo sana kwa wanaume
kula mkuu! karibu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3]Shunie
Sakayo
General Mangi
Mbitiyaza
Wanaendelea
Kama mjasiriamali unayeingiza kipatoItategemea na interest yake. Online business inalipa pia. Mitumba, chakula etc
Samehe mkuu.....Anipotezee yy, mi akinifuatafuata nalala nae.
Sent From Ikulu-Magogoni street
Asante,
Nawe ukaribiee hapa
Sent From Ikulu-Magogoni street
Unaamini katika usawa Wa kijinsia!
Fursa!
Je unaweza kufanya shughuli gani itakayokutofautisha Na wanawake wengi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna
demi naenda kulalaPole. Maisha ndivyo yalivyo.
Demi mbona avatar yako imekaa kishirikina?
Katika familia au?Kama mjasiriamali unayeingiza kipato
Je mchango wako kifedha ni asilimia ngapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda ukanye uko unampiga biti nani sasademi naenda kulala
very sorry if nimekuboa love,
Huwa sipo serious kwenye jukwaa la chit chat na MMU,
So when someone akinipanda namtolea uvivuu.
Good night.
Sent From Ikulu-Magogoni street
Katika family nini imani yako kuhusu kichwa cha familia je ni baba au mamaUsawa unahitajika katika mambo ya kama elimu, mirathi , afya na mengine.
Linapokuja suala la ajira au madaraka isiangaliwe jinsia bali uwezo.
Umeona eeeWanawake makini hawajibi swali hili.