Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Mmh..Yes lakini itategemea na amount.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh..Yes lakini itategemea na amount.
[emoji122] usingezaliwa Tanzania ungependa uwe RAIA Wa nchi ganiHawako sahihi. Na nasikitika kwamba wanaume huwa hawajali kutelekeza watoto, wanakuja kujuta uzeeni.
Nikisikia alimtelekeza nitamshauri akamchukue.
Hayakuhusu toa ugoro mdomoni ukalaleMmh..
Zinamezeka vizuri mbona
Fumba macho[emoji41] aisee
Ni course zipi unadhani ni marketable kwa kijana kusoma kwa sasaKuwa financially stable..
Wewe mzee sukutua maugoro yako ukalaleUnahisi katika malezi ni sahihi kumpa mtoto wa kiume / kike complete freedom akiwa na umri gani.?
Na kweli utampa uhuru kamili kuamua anachotaka, hata akitaka awe lesbian/ shoga utakubaliana nae?
Kama hapana hiyo freedom itakuwa na mipaka ipi?
Nitampa uhuru kamili akifikisha miaka 18, lakini nitaendelea kumuongoza na kumshauri.Unahisi katika malezi ni sahihi kumpa mtoto wa kiume / kike complete freedom akiwa na umri gani.?
Na kweli utampa uhuru kamili kuamua anachotaka, hata akitaka awe lesbian/ shoga utakubaliana nae?
Kama hapana hiyo freedom itakuwa na mipaka ipi?
Jamaica
Naamini course nyingi zipo marketable kwa sasa, utandawazi umeongezeka.
Huo ni ugoro unawashahahahah nyonga nyonga mamii ohh ...naimba tu!
Unadhani elimu yetu ukiilinganisha Na nchi jirani ina dalili za kutukomboa!?Jamaica
Elimu ya nchi jirani siifahamu vizuri.Unadhani elimu yetu ukiilinganisha Na nchi jirani ina dalili za kutukomboa!?
Kama ina mapungufu ni yepi
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamaduni upi unajivunia kama mtanzania!?Naamini course nyingi zipo marketable kwa sasa, utandawazi umeongezeka.
.
.
Sio mshauri mzuri kwenye mambo ya elimu
Kuwa financially stable..
Wewe mzee sukutua maugoro yako ukalale
Washa penzi kama moto demi$connor
Uwe nauwezo lakini zanzi +konyagi mziki wake so mchezo.Zinamezeka vizuri mbona
Financial stability kwangu ina maana kuwa na pesa ya kujitunza mimi na familia kwa ujumla, na hapa namaanisha akiba ya kutosha na miradi ambayo itakuwa inaingiza pesa ya kutosha kila siku.financial stability kwako wewe ina maana gani.? Je ni kuwa na amount flani ya mkwanja ( kiasi gani )?
Au ni retirement from your daily buziness while still earning means a financial stability kwako.?
HahaAangalie pia mbele kuna ugoro.