Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

Unahisi katika malezi ni sahihi kumpa mtoto wa kiume / kike complete freedom akiwa na umri gani.?
Na kweli utampa uhuru kamili kuamua anachotaka, hata akitaka awe lesbian/ shoga utakubaliana nae?
Kama hapana hiyo freedom itakuwa na mipaka ipi?
Wewe mzee sukutua maugoro yako ukalale

Washa penzi kama moto demi$connor
 
Unahisi katika malezi ni sahihi kumpa mtoto wa kiume / kike complete freedom akiwa na umri gani.?
Na kweli utampa uhuru kamili kuamua anachotaka, hata akitaka awe lesbian/ shoga utakubaliana nae?
Kama hapana hiyo freedom itakuwa na mipaka ipi?
Nitampa uhuru kamili akifikisha miaka 18, lakini nitaendelea kumuongoza na kumshauri.
Sitapenda aje awe lesbian au shoga. Nitamtutia msaada wa kisaikolojia ikishindikana nitamuombea kwa mungu baas
 
Unadhani elimu yetu ukiilinganisha Na nchi jirani ina dalili za kutukomboa!?
Kama ina mapungufu ni yepi

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya nchi jirani siifahamu vizuri.
Ila hii ya kwetu ina mapungufu mengi kuanzia sylabus na walimu pia.
Napendekeza walimu wawe ni wale first class na sio waliopata division za chini. Mishahara ya walimu ipande.
Sylabus ibadilishwe, kuna mambo tunayasoma in real life hayana maana.
 
Kuwa financially stable..

financial stability kwako wewe ina maana gani.? Je ni kuwa na amount flani ya mkwanja ( kiasi gani )?
Au ni retirement from your daily buziness while still earning ndo financial stability kwako.?
Au una maana gani tofauti na hizo?
 
financial stability kwako wewe ina maana gani.? Je ni kuwa na amount flani ya mkwanja ( kiasi gani )?
Au ni retirement from your daily buziness while still earning means a financial stability kwako.?
Financial stability kwangu ina maana kuwa na pesa ya kujitunza mimi na familia kwa ujumla, na hapa namaanisha akiba ya kutosha na miradi ambayo itakuwa inaingiza pesa ya kutosha kila siku.
Niweze kusomesha watoto bila wasiwasi, nitunze wazazi, tuweze kupata matibabu sahihi na kwa wakati...ofcourse na pesa ya starehe. Maana nitafanya starehe hata nikizeeka
 
Back
Top Bottom