Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Oooh Ubarikiwe sana mpendwa. Nipo huku napambana tu na dhambi zangu hahaHeaven Sent anaonekana ni mpole, mcha mungu na mwenye busara.
lara 1 anajiamini sana, mpambanaji na yuko real.
MBITIYAZA akili zake na zangu zimefanana kiasi
Zaidi ya hii amani tuliyonayo sioni kingine cha kujivunia zaidi ya rangi.Utamaduni upi unajivunia kama mtanzania!?
Upo tayari kufanya nn cha kitamaduni Ukiwa ughaibuni kuitangaza Tanzania!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes..kidogo kidogo
Financial stability kwangu ina maana kuwa na pesa ya kujitunza mimi na familia kwa ujumla, na hapa namaanisha akiba ya kutosha na miradi ambayo itakuwa inaingiza pesa ya kutosha kila siku.
Niweze kusomesha watoto bila wasiwasi, nitunze wazazi, tuweze kupata matibabu sahihi na kwa wakati...ofcourse na pesa ya starehe. Maana nitafanya starehe hata nikizeeka
Ubarikiwe zaidi My dear..Oooh Ubarikiwe sana mpendwa. Nipo huku napambana tu na dhambi zangu haha
Kwa kweli wewe na MBITIYAZA utadhani ni ndugu, huwa kuna muda mnanichekesha sana na kuna muda daah, you know woram saying? Ila najifunza mengi sana through you ladies, Mungu azidi kuwatetea. So far hongera kwa interview na kwa majibu honest.
Kusafiri nchi mbali mbaliTutajie starehe number moja time ya uzee wako.
Kiswahili ni lugha ya taifaZaidi ya hii amani tuliyonayo sioni kingine cha kujivunia zaidi ya rangi.
.
.
Nikienda ughaibuni nitapenda kujifunza utamaduni wa huko na labda nitaitangaza Tanzania kwa vyakula vyetu vya asili
Oooh Ubarikiwe sana mpendwa. Nipo huku napambana tu na dhambi zangu haha
Kwa kweli wewe na MBITIYAZA utadhani ni ndugu, huwa kuna muda mnanichekesha sana na kuna muda daah, you know woram saying? Ila najifunza mengi sana through you ladies, Mungu azidi kuwatetea. So far hongera kwa interview na kwa majibu honest.
Kusafiri nchi mbali mbali
Utaharibu uzi wa watu mkuu..Unaona madini ??
Sikoseagii
Kiswahili hakifai kuwa lugha ya kufundishia kwa sasa, labda baadae.Kiswahili ni lugha ya taifa
Je kiswahili kinafaa kuwa lugha ya kufundishia!?
Je unapenda mtoto wako asome shule ipi Swahili or English medium
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia sitaki kwenue huu uzi . Sisi hatutumi ugoroTuliza kijambio wewe makende.
Hebu jitathimi toka umalize chuo hadi sasa!Kiswahili hakifai kuwa lugha ya kufundishia kwa sasa, labda baadae.
Kiswahili kina maneno machache mno..imagine ile misamiati ya udaktari , engineering au IT sidhani kama kuna maana yake kwa kiswahili na kama yapo basi sisi watanzania hatuyajui na mengine hayana mvuto..
Imagine password inaitwa NYWILA..wadau wa kiswahili wana kazi ya ziada.
Napenda mtoto wangu asome english medium kwasababu kwa utandawazi huu ni muhimu kujua lugha ya kiingereza (si lazima).
Na kwasababu kiswahili anajifunza nyumbani na mtaani basi kujua lugha nyingine ni vizuri zaidi
Mambo yakiwa mazuri uzee hautanifikia sijavuka border ingawa sioni dalili [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .Umesema mwanzo hujawahi kuvuka border, kwa hiyo utaanza ukiwa mzee.
Unafikiri unamiss kitu gani kwa sasa kushindwa kuvuka border apart from adventure moments?
This is sad..
Pole ila usijaliThis is sad..
Elimu niliyoipata 50% imepotea. 50% inanisaidia.
Nikiwa under 10 na hata under 20 sijawahi kukosa kitu.demi utahakikisha mtoto wako hakosi kitu gani ulichokosa wewe ukiwa teenager / under 10?
Ukipa offer hata nchi jirani unaweza kwenda?Mambo yakiwa mazuri uzee hautanifikia sijavuka border ingawa sioni dalili [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] .
Ninamiss kukosa exposure..kukaa sehemu moja nayo unakuwa mlughalugha
Sikukurupuka nilimaanisha. Pia nazungumzia hela ya maana kidogo kama 5m na kuendelea.Pole ila usijali
Mwanzoni ulisema kuwa unaweza msaliti mpenzi wako kama hela ya maana itakuwepo unadhani ulimaanisha au ulikurupuka kujibu!!?
Ikiwa ni ndio je upo tayari kupiga Picha za u..chi for money!
Sent using Jamii Forums mobile app