Niambie jambo moja ambalo mumeo akikutendea una exit marriage instantly!Mimi sio mtu wa siasa sana lakini naona si sahihi maana uongozi wa nchi si tu kwa baadhi ya makabila bali kwa mtanzania yeyote mwenye uwezo na anaye kubalika.
Nilishakukataza kutumia ugoro wa ubuyu we babu husikii
Kalale uko
Washa penzi kama moto demi$connor
Swali la kichokozi hili..
.
.
Yes huwa inatokea, nami ni binadamu pia!
Nina amini hajatofautiana na wanaume wengi. Siwezi taja ni nini hasa nilimpendea, Love doesn't ask why... i just love him.Hongera,
Ulimpendea nn husband ambacho men wengine hawana au ngumu kuwa nacho!
Na je unadhani kuna substitute ya mumeo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Next kipigoNiambie jambo moja ambalo mumeo akikutendea una exit marriage instantly!
Sent using Jamii Forums mobile app
Best answer so farNina amini hajatofautiana na wanaume wengi. Siwezi taja ni nini hasa nilimpendea, Love doesn't ask why... i just love him.
.
.
Substitute: May be
Kama kuna faida..YES
Chezea viboko!Leo unaliza maswali yenye mashiko eenh,
Endelea ivyo ivyo ungeleta ujing tena tungekuozesha.
muosha rungu
Ikitokea mathalani ukamkuta live mpenzi wako anakusaliti Na rafiki yako kipenzi utafanya nn on that real momentNext kipigo
Kama kuna faida..YES
NDIOje unaamini katika TALAKA!
NDIOJe umewah kuvuta bangi/sigara
Teh teh..endeleeni nataka umuulize yule doctor bado anampango nae au...