DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #41
Niambie jambo moja ambalo mumeo akikutendea una exit marriage instantly!Mimi sio mtu wa siasa sana lakini naona si sahihi maana uongozi wa nchi si tu kwa baadhi ya makabila bali kwa mtanzania yeyote mwenye uwezo na anaye kubalika.
Sent using Jamii Forums mobile app