Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura ipo?[emoji1][emoji1][emoji1]Mpole kiasi mtundu kiasi
Kwa kipindi hicho niliona kama namsaidia lakini haikuwa sahihi. Ni mauaji
Hayasikusomi kabisa, mara ya mwisho nilikuona afrisana
Sent From Ikulu-Magogoni street
Kawaida sanaChura ipo?[emoji1][emoji1][emoji1]
Wa kike
Hahaha hahaha!. Mkuu nimecheka sana.Mtoto ume megeka ww!!
Fom one washakuchanua??
Sent From Ikulu-Magogoni street
Tulia jamaniiwe soma tu, ila nikija pm tuelewane
Sent From Ikulu-Magogoni street
pombe la kifaransa litakutoa roho hiloHENESSY
Unataka mtoto wako aje kua naniWa kike
Ushaanza umbeaaI see internationally [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mahondaw wa Smart911
Kama usingekuwa binadamu ungependa uwe mnyama ganiKwa kipindi hicho niliona kama namsaidia lakini haikuwa sahihi. Ni mauaji
Upo makini ujue Dada shikamoo jamanTulia jamanii
uzi wa demi siwezi tulia, tena kwa hii walker, nitakesha nae hapaTulia jamanii
Sitampangia cha kufanya bali atachagua. Bahati nzuri mpk sasa anatambua nini anataka kufanya na atakuwa nani.Unataka mtoto wako aje kua nani
Malez gani unampa ili afikie ndoto yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera maaSitampangia cha kufanya bali atachagua. Bahati nzuri mpk sasa anatambua nini anataka kufanya na atakuwa nani.
Malezi ninayompa ni kumfundisha kujiamini na kujitegemea yeye mwenyewe.
Kobe
Nitake radhi mkuu, wanao kunywa balimi huwaoni humu?wewe je kunywa mitaputapu yako huon leo ulivyolipuka! pita hivi