Demi live on muosha rungu TV show!!

Demi live on muosha rungu TV show!!

Kumbe haya maintavyuu bado yapogo jeiefu...kitambo sana!!!
 
Unawashauri nn wanawake Na wanaume wasio furahia tendon hill
Je unaamini kuwa asilimia 75% ya wanawake hawajawahi fika orgasm Na 50% kati yao huwa wanafake orgasm!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata right partner utafurahia, watafute watakaowafurahisha. Maana ya ndoa ni kufurahia tendo.
Ni kweli wanawake wengi hawafiki kileleni..nawashauri wanaume wajitahidi, wengi wanazembea.
 
Back
Top Bottom