Demi® & Maserati® mahandw® emmyta®mko wapi?

Demi® & Maserati® mahandw® emmyta®mko wapi?

Ocean road

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
631
Reaction score
304
Toka nijiunge JF,

Hawa ndio wasichana walionivutia na kuteka hisia zangu wako poa sana hawana tabia za kiswahili hawajui kuringa japo wanaonekana ni watoto wakali, hakika hawa ningekuwa nao kwa hood lazima ningemiliki mmoja wao.

Nawapenda sana nyie watoto nanyie masela mnaotafuta wasichana mbona hamwapigi sound hawa watoto? Nyie watoto nawazimia kinoma.

Wa kishua
 
Mhhh! Wamekuwa Twiga tena? Twiga wako porini siyo humu Mkuu.😵😵😵
Twiga ni mtt mkali na anaetembea kwa kudeka hawa wtt ni wasayar nyengne

Wa kishua
 
Back
Top Bottom