Demiss amepotelea wapi?

Wewe uko kundi gani?
 
Inashangaza..
Tena ilikuwa chuki ya hovyo mno..

Imagine mtu ameleta hadi Issue zinazohusu familia yake.. Eti ulishindwa kulipa kodi, mara msichana wako wa kazi ulishindwa kumlipa mshahara,sijui Baba yako aliumwa....What the hell!!!!!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana alimtuhumu mane kuwa ni tapeli, akamuomba athibitishe huo utapeli wake. Hakuuthibitisha zaidi ya kumchafua tu na mambo yasiyohusiana na huo utapeli alokuwa akimtuhumu nao. Yaani mtu ana bifu na wewe anakutafutia tu angle akuchafue daaah!

Ila watu wana muda jamani, yaani kwakuwa mtu anajisifia this and that basi unainvest muda na pesa zako kumfuatilia uthibitishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muulize mzee wa matunguli (mshana Jr) alimficha wapi?
 
Halafu mtu anakuambia eti sababu alikuwa na Tambo sana humu.. Ndiyo maana akafanyiwa vile...

Ninajiuliza kama alikuwa na tambo na vitu vya kweli au siyo vya kweli wengine yanatuhusu nini? Maana ni ME wangapi humu wana majivuno hadi unaogopa na hakuna wanachofanywa...

Sasa Mane kujitapa na mashimo ya migodi watu wanaumia.. jambo ambalo ukiwauliza hawana uhakika wa majibu yao kama anayo au hana...Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh duh jamani jamani 😢. I can't breath kwa kweli, yule binti nilimuamini mno. Hadi sasa sijaamini mimi 😢😢
 
Dear,nikufokee hapa au unakuja PM ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…